serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
Apo apooo apoooooooo .
Hahahaaaa... Hapo na wazungu tayari ushamwagaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo apooo apoooooooo .
Mungu akujaalie walau umiss pia kushika kitabu kitakatifu cha imani yako...kuna kitu utaongeza piaDaah aisee miaka ya nyuma kuanzia 2015 kurudi nyuma kabla mzee yusuph hajaacha kuimba ilikuwa raha sana.
Nilikuwa sikosi show za jahazi .Na kilichokuwa kinanivutia ni wale mashangingi aisee wanakubong'olea vizuri wakati unambambia huku yakiwa yamevaa madira tu na ndani hata chupii muda mwingine hayajavaa,kimbembe kinakuja ukishika kiuno aisee shangaa tupu babeki mpaka raha.
Kuna siku nilimbambia shangingi mmoja likaanza kuniuliza nikikupa utaweza dogo huku likinirembulia macho daaah aisee kauli ile iliniamsha mara tatu hisia za mapenzi maana pale tu wakati nambambia nilikuwa nimedinda ile mbaya na yeye aliponiambia kauli ile aisee daah alinipandisha mizuka ile mbaya.
Basi bhana aliponiambia hiyi kauli nikamjibu sina maneno mengi twende chumbani nikakuoneshe kile kidogo ninacho kijua akasema subiri kwanza Mzee Yusuph apande kwanza aimbe halafu tutaondoka maana alikuwa bado hajaimba na jukwaani muda huo alikuwa Fatma Mahmoud au Fatma mcharuko akituburudisha na ngoma ya marupe rupe.
Basi mzee kweli akaja akaimba wimbo wa Wasiwasi ndo akili ,na ule wimbo aisee ulivyo na masebene mule ndani kama lile sebene la kimakonde pale daah niliambulia mauno ya kufa mtu mpaka kijasho chembamba kikawa kinanitoka.
Baaadaye alivyomaliza kuimba nikajibebea mzigo nikaenda kumpiga bao moja la fasta fasta kisha tukarudi zetu kuendelea na burudani kama kawaida.
Nikikumbuka memories kama hizi daah natamani mzee Yusuph arudi leo kesho maana nimeyakumbuka mashangingi sanaa maana hayanyimagi haya ukiomba gemu yanakupa hasa yakipiga bia za kutosha ingawaje wengi wanakuwa hawalewi maana mashangingi bia kwao kama maji tu.
nenda njenje kuna mduara.Sijaenda jahazi muda mrefu sana sijui hizi mambo kama bado zipo siku hizi
Sijaenda jahazi muda mrefu sana sijui hizi mambo kama bado zipo siku hizi
ni ya Msami babyMkuuu aloimba simjui ,,ila nkionjo wimbo unaimbwaga I want to marry you baby ,,,, ila sio marry you ya diamond
Dunia nzima mi napapenda zanzibar tu na cape town.hizi sehemu lazma nitakuja ishi,Njoo kisiwani huku ufaidi chura za warabu ndani ya mahijabu..
Nawasubir Eid kubwa..
Ningeshangaa hii sehemu isitajwe.Hahahaaaa... Mambo yote travertine magomeni, na kule Lango la jiji...... Eeeh bwanaaaa
Tunaendaga kufuata chura.Sijawahi kuwaelewa wanaume wanaoenda kwenye taarabu. Naamini wanaendaga mashoga na wanawake.
[emoji87] [emoji87] [emoji87]Tunaendaga kufuata chura.
Yani kule hawakubanii kama ukienda kwneye bolingo.
Huko mijimama na madera yao hainaga hiyana.
(Ila mimi nilishaacha kweenda)
Kwanin umeacha sasa???Tunaendaga kufuata chura.
Yani kule hawakubanii kama ukienda kwneye bolingo.
Huko mijimama na madera yao hainaga hiyana.
(Ila mimi nilishaacha kweenda)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunaendaga kufuata chura.
Yani kule hawakubanii kama ukienda kwneye bolingo.
Huko mijimama na madera yao hainaga hiyana.
(Ila mimi nilishaacha kweenda)
Nimepunguza ngono.Kwanin umeacha sasa???
Umejuaje au na wewe mwenzao,Lakini mabwabwa wengi ndo wanapenda taarabu kwanini.....?