APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
jiwe gizani....kama limekupata vile...............😀😀😀..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jiwe gizani....kama limekupata vile...............😀😀😀..
Ungeiona hii namba.tukifungiwa mimi na wewe chumbani.mke utakuwa wewe.jiwe gizani....kama limekupata vile...............😀😀😀..
utapumuliwa kijana acha shobo...watu tuna ugwadu we leta mazoea....Ungeiona hii namba.tukifungiwa mimi na wewe chumbani.mke utakuwa wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
utapumuliwa kijana acha shobo...watu tuna ugwadu we leta mazoea....
walewale kasoro majina......pasipo shaka unahamu ya kupumuliwa
mjingamimi njoo ujibu tuhma huku.walewale kasoro majina......pasipo shaka unahamu ya kupumuliwa
mkuu,kama vipi ili jina ubadilishe sio hata nini JORDI POLLA huyu dogo hana sifa mzuri hata nini,ni ushauri tuDaah aisee miaka ya nyuma kuanzia 2015 kurudi nyuma kabla mzee yusuph hajaacha kuimba ilikuwa raha sana.
Nilikuwa sikosi show za jahazi .Na kilichokuwa kinanivutia ni wale mashangingi aisee wanakubong'olea vizuri wakati unambambia huku yakiwa yamevaa madira tu na ndani hata chupii muda mwingine hayajavaa,kimbembe kinakuja ukishika kiuno aisee shangaa tupu babeki mpaka raha.
Kuna siku nilimbambia shangingi mmoja likaanza kuniuliza nikikupa utaweza dogo huku likinirembulia macho daaah aisee kauli ile iliniamsha mara tatu hisia za mapenzi maana pale tu wakati nambambia nilikuwa nimedinda ile mbaya na yeye aliponiambia kauli ile aisee daah alinipandisha mizuka ile mbaya.
Basi bhana aliponiambia hiyi kauli nikamjibu sina maneno mengi twende chumbani nikakuoneshe kile kidogo ninacho kijua akasema subiri kwanza Mzee Yusuph apande kwanza aimbe halafu tutaondoka maana alikuwa bado hajaimba na jukwaani muda huo alikuwa Fatma Mahmoud au Fatma mcharuko akituburudisha na ngoma ya marupe rupe.
Basi mzee kweli akaja akaimba wimbo wa Wasiwasi ndo akili ,na ule wimbo aisee ulivyo na masebene mule ndani kama lile sebene la kimakonde pale daah niliambulia mauno ya kufa mtu mpaka kijasho chembamba kikawa kinanitoka.
Baaadaye alivyomaliza kuimba nikajibebea mzigo nikaenda kumpiga bao moja la fasta fasta kisha tukarudi zetu kuendelea na burudani kama kawaida.
Nikikumbuka memories kama hizi daah natamani mzee Yusuph arudi leo kesho maana nimeyakumbuka mashangingi sanaa maana hayanyimagi haya ukiomba gemu yanakupa hasa yakipiga bia za kutosha ingawaje wengi wanakuwa hawalewi maana mashangingi bia kwao kama maji tu.
Anaitwa MsamiMkuuu aloimba simjui ,,ila nkionjo wimbo unaimbwaga I want to marry you baby ,,,, ila sio marry you ya diamond