Nimemiti na rafiki yangu wa humu lakin daah

Nimemiti na rafiki yangu wa humu lakin daah

Usiache mbachao kwa msala upitao. Usiruhusu tamaa kuchukua nafasi
 
Kwani ulipoenda kukutana nae ulitaka ushauri wa humu? Nendeni mkaambukizane virusi. Usitufanye mashahidi wa zinaa zako. Ukitaka ushauri wangu tukutane ni test.
 
We Manka hebu acha tamaa! Huyo uliyemeet naye ni rafiki tu wa JF. Si umesema una boyfriend wewe? Sasa unataka kumvulia ch.pi rafiki wa JF kwa sababu gani? Ma-HB wapo kibao tu, hata mimi pia. Haina maana kama kila HB utakaye kutana naye utamani awe mpenzi wako!
 
Habari zenu wana jr..i hope mnaendelea vyema na ujenz wa Taifa

jaman me nmekuja hapa cjui nielezee vipi lakini kikubwa ni kuwa nimemiti na rafiki yangu wa humu jamii forums ni HB alafu kuna vitu flan flan nmevipenda kwake alafu ni mchesh mby kitu ambacho ndo nmevutiwa nacho saana na kwa ujumla binafsi nimevutiwa nae sana tumepeana kampany sana tuu na nliinjoy sana naye pia kaonyesha kunpenda na kwa jinsi nnlivyomsoma hana girl ambae amejicomit kwake kikubwa kinachotaka kujitokeza ni kuwa najifill nataka kumpenda sana ukizingatia me teyar nna Boyfrind
wapendwa nishaurini nifanyaje nsije nkalikoroga kwa mpenz wang

Inaonekana huyo boyfriend wako hana "vitu flan flan" ambayo huyo mJF anavyo na pia sio "Mcheshi Mby" kitu ambacho ndio kimekuvutia saana kwa huyu mJF. Hivi "vitu flan flan" sijui ni vinini ila ucheshi ambalo kwa mtazamo wangu ndio tatizo kubwa la boy friend wako sio kitu cha kuwekeza sana kwenye mahusiano. Inawezekana huyu jamaa ni "comedian" na umecheka kwa sababu mlikuwa naye siku moja tu. Ukikaa naye kwa muda mrefu kama ulivyokaa na BF wako ataishia ku-replay vichekesho na kukubore na stori zinazojirudiarudia kila siku.
 
mwambie unavojickia juu yake uone atakuambia nn mana huwezi jua yy naye huko aliko havikaliki.......ila nivema ukafata ushauri wa kaka bht

better the devil you know than the angel you dont know...

Hii kumbe bht ni kaka. Hapo ndipo ninapoipendea JF.
 
Habari zenu wana jr..i hope mnaendelea vyema na ujenz wa Taifa

jaman me nmekuja hapa cjui nielezee vipi lakini kikubwa ni kuwa nimemiti na rafiki yangu wa humu jamii forums ni HB alafu kuna vitu flan flan nmevipenda kwake alafu ni mchesh mby kitu ambacho ndo nmevutiwa nacho saana na kwa ujumla binafsi nimevutiwa nae sana tumepeana kampany sana tuu na nliinjoy sana naye pia kaonyesha kunpenda na kwa jinsi nnlivyomsoma hana girl ambae amejicomit kwake kikubwa kinachotaka kujitokeza ni kuwa najifill nataka kumpenda sana ukizingatia me teyar nna Boyfrind
wapendwa nishaurini nifanyaje nsije nkalikoroga kwa mpenz wang

Hivi inakuaje mtu akuamulie mambo yako kuhusu mapenzi? Kama tayari una mahasiano, na unataka tukushauri uanzishe mwingine tena na mtu ambae mmekutana humu jf, tukueleweje? Mwili wako hauna ubia na yeyote! Halafu ni wazi kuwa unajua kwamba kufanya hivyo sio sahihi, lakini kwa kuwa unataka kufanya uovu uonekane halali umeamua kuja kistyle. Sio tabia nzuri katika mahusiano. Hebu fikiria mwenzio akameet na mtu, nae akaamua kukufanyia huo "upuuzi" utajisikia je? Umepewa utashi ukawa tofauti na wanyama. Hebu tumia huo utashi kujitofautisha na wanyama.! Samahan kama nimekukera.
 
Habari zenu wana jr..i hope mnaendelea vyema na ujenz wa Taifa

jaman me nmekuja hapa cjui nielezee vipi lakini kikubwa ni kuwa nimemiti na rafiki yangu wa humu jamii forums ni HB alafu kuna vitu flan flan nmevipenda kwake alafu ni mchesh mby kitu ambacho ndo nmevutiwa nacho saana na kwa ujumla binafsi nimevutiwa nae sana tumepeana kampany sana tuu na nliinjoy sana naye pia kaonyesha kunpenda na kwa jinsi nnlivyomsomahana girl ambae amejicomit kwake kikubwa kinachotaka kujitokeza ni kuwa najifill nataka kumpenda sana ukizingatia me teyar nna Boyfrind
wapendwa nishaurini nifanyaje nsije nkalikoroga kwa mpenz wang

1. Kwa kuzingatia hizo red font, kuna kila dalili kwamba umemdondokea "in four".
2. Kwa mujibu wa blue font hata yeye ana girl/girls lakini hajajicomit
3. Black font, kwa kutegemea ni kiasi gani wewe umejicommit kwa huyo boyfriend wako, inawezekana huyu ndo akufaaye zaidi.
4. Bottomline: Tafakari, chukua hatua...
 
Habari zenu wana jr..i hope mnaendelea vyema na ujenz wa Taifa

jaman me nmekuja hapa cjui nielezee vipi lakini kikubwa ni kuwa nimemiti na rafiki yangu wa humu jamii forums ni HB alafu kuna vitu flan flan nmevipenda kwake alafu ni mchesh mby kitu ambacho ndo nmevutiwa nacho saana na kwa ujumla binafsi nimevutiwa nae sana tumepeana kampany sana tuu na nliinjoy sana naye pia kaonyesha kunpenda na kwa jinsi nnlivyomsoma hana girl ambae amejicomit kwake kikubwa kinachotaka kujitokeza ni kuwa najifill nataka kumpenda sana ukizingatia me teyar nna Boyfrind
wapendwa nishaurini nifanyaje nsije nkalikoroga kwa mpenz wang

Itakuwa ni NYANI NGABU ama KONGOSHO tu! Hongera sana!
 
sasa unataka ushauri upi,wakati umesha do nae? cha msingi kula nae maraha mpaka siku atakapo ku dump.
 
dunia yako. ila dada nina mashaka na ww umekutana naye ushaanza kumpenda. mm mwenyewe hb kwa iyo 2kimiti utanipenda? kuwa makini moyo kwan una ugonjwa wa kufisha

kwa hy katika maelezo yangu ww umeona Uhb TU mengine hujaona kilichonvutia siyo uhb bna kuna vingine bna kwan me nmesema navutiw na men hb
 
Dont lose someone you love for someone you like coz someone you like might lose you for someone they love
 
mabinti wengine mkoje?ndo mana mimi mkikatiza anga zangu za kimataifa si waachi na kula kiulaini alafu nasepa,ujinga kabisa huu kwani huyo boy wako alipokua anakuja kwako mara ya kwanza ulimuona vipi? Boys never trust ladies kula na kutembea mambo mengine yatakuja baadae....
 
siku hizi mademu hamuheshimu k zenu,mnagawa kama njugu tu...ukimaliza kumpa huyo njoo unipe na miye basi
 
Back
Top Bottom