Nimemkamata mwizi wa Taa (balbu) usiku wa leo

Huyo ilitakiwa mumle makalio

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kumpeleka mtu Police ni sawa na kuwapelekea pesa ya ulaji police..Wewe ungekuwa na akili ungemwambia nigawie mpunga tumalizane.
sasa ulaji wamepewa police..Naamin kufika tu police amewachia 20,000 akachomoka zake..sasa mnaanza bifu ya mtaani isiyokuwa na sababu..mkimalizana na mchinjana huko Geita.
 
Kuna jamaa walimdaka mwizi wa kuku, walimpiga kimya kimya wakamwambia ukilia tu tunakuitia mwizi[emoji4], jamaa alipigika kimya kimya mwisho wakamvunja mguu wakwambia undoka, jamaa alitambaaa na kupotelea porini huko
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Tuje kufuata nini Geita, wakati michongo yetu unatuharibia, taa kitu gani bana una mind!
Afu huko kwenu ni washamba sana mnanunua hadi balbu?
 

Mmemkabidhi kwa walinzi wa mitaa ambao pamoja na uwepo wao bado jamaa alikuwa anajaza diaba na mitaa kuwa gizani?

Kwamba mnaamini watanfikisha kunakohusika kweli? Vipi wakiamua kuvuta chao na kumuachia huyo mwizi mtajuaje? Je mwizi wenu mlimtambua au ilikuwa sura ngeni? Maana kama mngemtambua angeogopa kuiba tena hapo mtaani lakini kama ni vinginevyo inakuwa ngumu kidogo kuamini kwamba mchezo mmeumaliza.
 
Duh, hao Walinzi walimfikisha salama kweli...maana nao huwa wana kiu ya kugawa kipondo balaa.
 
Umenikumbusha kisa kimoja, kuna siku tulikamata mwizi mtaani kwetu mishale ya usiku mkali sana kama saa nane hivi, tukaamua kumpeleka polisi kwa hatua zaidi za kisheria, ile tumemfikisha polisi tukaanza kushambuliwa na polisi wale kwa maneno eti wanaume tisa tunamleta mwizi kituoni hajavunjika hata miguu au mikono wakasema ni matumzi mabovu ya muda wa kulala bora tungemuachia tukalale.....
 
Njoo unywe bear baridi hapa Bever
 
Mwizi kama huyo unamgeuza mtumwa kwa muda wa mwaka m'moja. Anafungwa minyororo anafanya kazi nzito kwa mijeledi na kichapo kizito akileta uzembe.

Ukimuachia hatorudia tena.
 
Duh, hao Walinzi walimfikisha salama kweli...maana nao huwa wana kiu ya kugawa kipondo balaa.
Your Id reminds me of "SITREP...over"
Back to your comment ,Vijana wa siku hizi wameweka "pesa" mbele kabla ya chochote hata akufumanie na mkewe utasikia
"UNA KIASI GANI TUMALIZANE?"
 
Hongera sana kwa ujasiri wa kumdhibiti mwizi peke yako. Wengine wanatembeaga na silaha ndogo ndogo kama bisibisi au visu. Ulifanya vyema kumtokea kwa nyuma na kumuonya kwanza.
Kweli hata mimi nilijua hilo ndio maana hata yeye hakujua nimejipangeje, cha kwanza nilimwambia NTAKUUA kwa ukali akaogopa asalimu amri,.
 
Kuna jamaa walimdaka mwizi wa kuku, walimpiga kimya kimya wakamwambia ukilia tu tunakuitia mwizi[emoji4], jamaa alipigika kimya kimya mwisho wakamvunja mguu wakwambia undoka, jamaa alitambaaa na kupotelea porini huko
Aisee sijui ujasiri na nguvu hua tunazitoaga wapi unapoibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…