Nimemkamata mwizi wa Taa (balbu) usiku wa leo

Kweli hata mimi nilijua hilo ndio maana hata yeye hakujua nimejipangeje, cha kwanza nilimwambia NTAKUUA kwa ukali akaogopa asalimu amri,.
Siku nyingine ikijakutokea the same circumstance usiance na neno "NITAKUUA" coz litamfanya apanic na kufanya kitendo chochote ambacho labda hukujitaarisha nacho. Anza na neno "TULIA HIVYO HIVYO". Hii itamuondolea confidence ya kureact coz hajui umejizatiti kiasi gani.
 
Jamaa alternative way ya kujikwamua imemponza
Tunaliita (Diaba) ndoo kubwa ilikua katikati nusu taa, inamaana anazunguka mitaani na ndoo ya lita kumi ikijaa anaenda kumimina kwenye diaba.
 
Jamaa alikua analia kama mtoto anatuomba tusipige yowe yaani tulimpiga mpaka huruma
 
Yaani Walinzi walishindwa kumkamata mwizi wanataka kuwakamata nyie tena? Huwa nalipa pesa ya Ulinzi Mtaani kwangu ila sijawahi kuona faida
 
Mkuu hujatuelezea kama ulipona tumbo.
Tumbo nilipona kabsa, kwa mshituko niliokuanao nilivyomuona anatoka kwa jirani kuelekea nyumbani kwangu

ndipo nilijihisi kusisimka mwili kama natembelewa na nyoka mgongoni tumbo likajawa hofu kama mtu amekoswa kugongwa na gari , tumbo sjui lilipona mda gani
 
Tuje kufuata nini Geita, wakati michongo yetu unatuharibia, taa kitu gani bana una mind!
Afu huko kwenu ni washamba sana mnanunua hadi balbu?
Nyie balbu hua hamnunui!? hua mnawashia nini?

njoo ule viazi
 
Sura ilikua ngeni nayeye alijitambulisha ametokea mtaa mwingne, kifupi usiku tulikua kama hatutumiii hakiri zetu asubuhi tumesimlia mengi yameibuka yaani tulifoji kwakwel
 
Mbona technique ya kutoa taa umeielezea kwa ufasaha sana?
Umeelewa hapo kwenye chupa kubwa ya dasani iliokatwa afu ikafungwa kwenye mti mlefu [emoji1787][emoji1787] hakuna taa ya kuchomka hapo rabda taa ya fimbo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] waumini waimbaji wa kwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…