Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,306
- 3,228
You need Jesus.
Mmmhhh. Hatari sana yaani 😇
Unafikiri mke wako kugongwa mpaka asafiri, hapo hapo mkoani kwako anagongwa tu. Anagongwa ofisini au guest lunch time jioni anarudi kwako mwepesi.Habari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.
Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Ni bora agongwe kimya kimya, kuliko kugongewa sehemu ambayo umemruhusu aende.Unafikiri mke wako kugongwa mpaka asafiri, hapo hapo mkoani kwako anagongwa tu. Anagongwa ofisini au guest lunch time jioni anarudi kwako mwepesi.
Huu mbona haujachomwa? Huu mhindi vipi hayo ni mapengo au kuna mtu kala mbichi? Evelyn Salt
Uhuru wa manyani...Kuna ndoa hapo tena.Sikujua kama kuna wake za watu wanaenda kwenye marathon. Mimi nilijua ni singles na mijimama
🤣🤣🤣Huo ni uume mkuuHuu mbona haujachomwa? Huu mhindi vipi hayo ni mapengo au kuna mtu kala mbichi? Evelyn Salt