Nimemkataza mke wangu kwenda kwenye Marathon

Nimemkataza mke wangu kwenda kwenye Marathon

Habari za masiku wana Jamiiforums

Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.

Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.

Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Mwanamke kama ni mzinzi hata asipoenda kwe marathoni ataliwa hapo hapo nyumba hivyo nataka nikushauri hakuna njia ya kumzuia mzinzi asizini labda aamue kuwa mcha Mungu
 
Back
Top Bottom