Naona mkuu Wakili ume-dislike hapa lakini huo ndio ukweli!Lakini kabla hujamzuia zile alizohudhuria tulishamla!
Pamoja na hayo lakini hutuzidi sisi jinsi tulivyoipekuapekua! Hakika kila kona tulichungulia! Wewe ulishawahi kuichungulia mpaka almanusura uone utumbo?😁😁😂😂Sio mbaya na mimi naifaidi daily
Hivi mkeo anakimbiaje barabarani na wakati kitanda cha kumkimbiza mchaka mchaka kipo ?Habari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.
Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Ni mbio za single moms na watu wenye stress kwenye ndoa zao.Habari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.
Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Pengine ni ndoa ambazo mwanamke ndio mwenye sauti ndaniKumbe wanakulana baada ya hizo marathon! eti mke wa mwenyewe unaacha familia kisa unaenda marathon, ndoa zingine ni upuuzi mtupu
Boda boda wake anasemaje?afadhari wewe umempiga pin kwenda marathon, mimi mke wangu hata nje ni marufuku kutoka.
Ni sawa pia kwa sababu ni mwanamke angekuwa wa kiume ingekuwa changamotoLakini kabla hujamzuia zile alizohudhuria tulishamla!
Tulia wewe chapati unaleta makasikiriko kwenye familia za watu au na wew unaliwa uko kwenye marathon zenu izopole sana kwa kuoa mke pongo...... kwahyo alishakwenda baada ya kujua yanayofanyika ndipo umemkataza..... ww nae pongo tu......
Habari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.
Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Sijambo jamboRIP classmate🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ukopoa mzee
Hana usemi mkuuBoda boda wake anasemaje?
Umekosea sana mruhusu acha wivu ww mke wako hajatokea kwa walima mihogo au watu wa midundiko mke wako msomi amezoe mambo ya kisomi mruhusu sheheHabari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.
Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Vp haijawahi Rudi na medaliHabari za masiku wana Jamiiforums