Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Sio mbaya..ni vzr kusalimia walau mara chache tujue hujafa ...Nimepita kuchungulia leo, maana ni kitambo

Ewa mwanamke anaongozwa hataki hasirudi nyumbani aende huko nje.Habari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.
Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Wewe weka mipaka hata iwe kama ukuta wa Berlin kama wa kudinywa, atadinywa tu.Jidanganye mke unamuwekea mipaka unayowezq
Ha ha ha anamkataza asuende marathon kesho anaenda seminaNi sawa na kumruhusu mke wako aende semina ya wiki moja. Watakutana huko na ma-ex wao.
Inavyoonekana umekula sana weweMi sijaenda marathon 😂😂 sijala mahindi
Nipo. Alive and kickingSio mbaya..ni vzr kusalimia walau mara chache tujue hujafa ...
Kwa hiyo kabla ya hapo alishawahi kwenda?Habari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.
Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Hapo ndugu yako hana mke! Maana kule kufunua tu kopo lake kwamba naomba ruhusa niende marathon ni upumbavu!Umesanuka .. maana angeenda kutombwaa kisela huko
Ngoja nisiwe shahidi wa Jamhuri 😀
Nafasi pekee ya kuwa nako ni kwenye marathon,si unajua wanaenda siku moja kabla,wanakuwa pamoja na baada ya mbio then the next day wanarudi pamoja wakifika dsm mpaka marathon nyingine 😀Alishabahatika kukapiga hata mara moko au Anapigaga mara kwa mara sasa hako kabinti
Ka-kiajemi au anaishia kukasindikiza kwa macho wakiwa kwenye mchakamchaka? 🤔
Habari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.
Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Kweli kabisa kaka hizi marathon hua wanaenda wamevaa skin aisee kila kitu wazi pichu zinaonekana hivyo baada ya marathon ni party nfo hapo wanapoanza kufinywa tena huku anakutukana mumewe kua humfinyi vizuri zaidi ya jamaa anayemfinya muda huoHabari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.
Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Lakini kabla hujamzuia zile alizohudhuria tulishamla!"Marathon zimegeuzwa kichaka cha umalaya...."
Nina rafiki wa kike niliwahi kumzuia I thank God alielewa. Kumejaa upuuzi sana
Avae kiheshima sasa atakimbiaje aisee? Yaani avae li buibui halafu aweze kukimbia? Thubutuuu!Mwanaume lazima uwe mwanaume nyumbani.
Huu ufuska wa kijinga nilikua sijausikia eti mwanamke anatimka kwenda miji mwingine kwa sababu ya marathon. Anaachia familia.
Ikiwa anataka marathon angoje ije hapa tulipo namfikisha inapoanzia na kuchukua inapoishia.
Na avae kiheshima