Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Mkuu ni ubohoAmemis huboho huyo
Mkuu ni ubohoAmemis huboho huyo
Mke akikuzalia tu watoto wa kutosha siyo wakubambikiwa unamfunga uzazi na kumruhusu tu awe huru kwenda huko kwenye marathon.Mpaka mke wako anafikiria kwenda marathon ujue ni kimeo tayari huyo, ile hali tu yakutamani kwenda marathoni tayari huyo ni tatizo.
Mwanamke mwenye akili timamu na well matured hawezi kwenda kwenye matukio ambayo zaidi ya asilimia 70 yanahusisha wanaume, mfano kwenye mabaa, marathoni, mpira wa miguu, matamasha ya muziki nk.
ndio pale Afghanistan ni marufuku mwanamke kuonekana kitaa bila uangalizi wa mume, ndugu wa karibu nk
Mwanamke ni kiumbe adhimu hakipaswi kuzagaazagaa hovyo mitaani.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Umeshtuka mkuuHabari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.
Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Pole sana.... Kumbe alikuwa mshiriki mzuri....Tayareeeee wameshakula .....Habari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.
Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Atakuwa tu haka kabinti.Marathon 😀😀😀
Kuna jamaa yangu anazunguka marathon zote Tz kwasababu ya kabinti ka kiarabu,kanapata nafasi kwenye marathon tu, tofauti na hapo no way...... Marathon zina mengi sana
Akitaka kujoin mkewe ataahorisha,atamwambia basi nenda mwenyewe.Take some things positive unaweza ukamjoin.
😄😀🤣😅😂Umefanya jambo jema ila kwa kuchelewa. Ni mwanaume mjinga tu anaruhusu mkewe kuvaa kibwaya na kukimbia.
Mkeo akikuomba kwenda nje ya mkoa kukimbia maradhon tatizo liko kwako.kakutama kaona unaweza kutoa ruhusaHabari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.
Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Kama uko vizuri kiuchumi,marathon zote ni muhimu kuhudhuria,zina raha zake yaani kuna wanawake wana mizigo na mbunye zilizotuna dah!Ha ha ha umenifurahisha,kuna mwenzako huko kampiga biti mkewe asiende huko ila yeye anazunguka marathone zote utetezi wake yeye ni wa mwanaume anatafuta connection
Woiiii jaman hii kitu
DahKama uko vizuri kiuchumi,marathon zote ni muhimu kuhudhuria,zina raha zake yaani kuna wanawake wana mizigo na mbunye zilizotuna dah!
Mnabaki nyumanyuma unajifanya kumpa kampani ya kukimbia,baada ya hapo mnabadilishana kontakti,unamuota loji ulifikia unamzagamua.Mume akipiga usiku simu inaita tu,kisingizio NILICHOKA SANA na mazoezi,kwahiyo nililala.
Bora umesanuka MkuuHabari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka basi.
Nimemwambia wife siku ukienda kwenye marathon zenu hizo asirudi tena hapa nyumbani.
Nimepita kuchungulia leo, maana ni kitambo kimepita.Good to see u Analaizi....
Welcome back...