Nimemkataza mke wangu kwenda kwenye Marathon

Mwaka jana kuna ile marathon ilifanyika dom, nilikuwa huko kama miezi 3, upwiru kama wote,,,, kuna kanes flan nilikuwa nakula zaman, sasa kameolewa, kakaomba ruhusa kuja, akaruhusiwa na mumewe,,,, ! Alifika ijumaa, nadhan walipanda tren, ilikuwa ni mwendo wa kuloweka tu, Hata kukimbia hakuenda, tulishinda room tu ! J3 akaondoka zake akaniacha mwepesiii!

Marathon ni zaidi ya uchafu , watu wanalewa, ovyo kulalana ndo kabisa!
 
Sikujua kama kuna wake za watu wanaendaga huko.
 
Kwan kabla haujamuoa haukujua kwamba ni mtu wa marathon ?
 
Umesanuka .. maana angeenda kutombwaa kisela huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…