NIMEMKOMESHA

NIMEMKOMESHA

MEKADDISHKEM

Senior Member
Joined
Sep 15, 2016
Posts
148
Reaction score
144
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.
Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/="
Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.
Kwenda na kurudi sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA

Sipendagi ujinga kabisa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli we sio mtu wa mchezo mchezo
 
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.
Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/="
Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.
Kwenda na kurudi sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA

Sipendagi ujinga kabisa

ULIKUA BADO MJINGA KWA SABABU UNGELIPA ELF 6000 yako WAKUSHUSHE KIMARA , KWANINI ULIPOTEZA MUDA??
 
Back
Top Bottom