nahisi nikiwaambia wife atajua mapema, italeta shida kwenye familia... nimemkosea sana wife lakini sitaki wabaya wapate sehemu ya kuchochea moto, nataka liende kimyakimya kwanzaMtumie pesa ya matumizi kila mwezi. Wakati huo huo wataarifu wakubwa wako kama wazazi usije kufa stori ikawa imeishia hapo.
mkuu mimi najua ni wangu, kama ni tofauti haina shida pia kwa sasaUkute/uje kuambiwa mtoto sio wako, hapo ndo utaomba dunia isimame ushuke.
mzee niko kikazi mbali na familia yangu, sikutegemea kupata mtoto nje ya ndoa lakini ndio hivo sasa nawezaje kuitelekeza hii damu yangu isiyo na hatiaNakosa cha kukushauri mkuu
Ila, one thing is certain, kwa ulichokifanya unetengeneza mazingira mazuri sana ya mke wako nae pia kutoka nje.
Yeye anaweza asipate mtoto huko nje, ila pia akipata hutafahamu na utamlea upende usipende.
All in all, you've made your bed...now lie in it
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hayo sio tatizo kabisa, ninachohitaji ni familia yangu isijue haya, nifanyeje?Hakuna siri ya wawili jombaa, itamfikia tu mkeo kama si leo basi kesho! Kikubwa ni kujiandaa kukabiliana na chochote atachoamua mkeo ila tu usimnyanyase kwa kosa lako!
Back to the topic: Hapo sasa kama ulikuwa mapato yako unayaweka wazi kwa mkeo inabidi uanze kuficha ficha ili ulee mtoto wa pembeni.
Kama nguvu ya kumjengea ipo, mjengee na pia kama mama ana akili nzuri mfungulie biashara kwa mpango wa kupunguza usumbufu wa kutuma matunzo mara kwa mara, utashtukiwa mapema na mkeo.
Mpango wa kando unatakiwa baba uwe na mahitaji ya msingi tu kama ada (akianza shule) na/au ataumwa!
mkuu hayo sio tatizo kabisa, ninachohitaji ni familia yangu isijue haya, nifanyeje?
sawa nduguNdo hiyo nimekushauri, wajengee wakae pazuri, wape mradi!
Vimada wengi wanakuwa na fujo njaa ikizidi, ukimpa mradi utasahau!
mzee unataka kupigana na keyboard, mwanaume hagombani na upepo kama mada haikuhusu potezea tu nduguWatu mlio tafutiwa wake wa kuoa mnatesaka na vivitu vidogo vidogo hiyo ni ishu ya kuleta kwa wanaumme wezio naona wewe sio lijali
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hapo namba tatu umesema nimjengee huyo mtoto then mama yake asijue chochote, hii nyumba nitamkabidhi nani? nieleweshe hapa ndugu..Jamaa wala usiwe na pressure, hyo ni kesi ndogo sana..............ushauri wangu kwako sasa;
Kwanza, waeleze wazazi wako ukweli maake ndo miungu yako ya hapa duniani.
Pili, Usimweleza mkeo chchte, nature itajibalance yenyewe tu siku za hapo usoni maake mwisho wa siku itajulikana tu.
Tatu, huyo mtoto wa nje anza kumuandalia mahali pake na vitu vyake, kama kujenga fanya hivo ila mamaake asijue chochote kuhusu hayo.
Nne, Wazo lako la kumjengea nyumba huyo mwanamke na mwanae wakaishi ninapnga vikali,atajihesabu yeye ni nyumba ndogo.
Tano, Usirudie tena hilo kosa na ukome kabsa michepuko......leo umeleta mtoto, kesho utaleta ukimwi na vurugu kubwa ndani ya ndoa.
Asante