Nimemkosea sana mke wangu. Ushauri wenu tafadhali

Usipate tabu cha Kwanza mkatie bima pili wape taarifa nduguzo tatu,mfungulie bi mdada biashara itakayo mfanya awe nayo bize na baadhi ya mahtaji asikusumbue wewe nne subiri mtoto afikie umri wa miaka 5 au 6 ndio umwambie shemeji juu ya hilo

kilicho akilini kitumie
 
Pole sana omba sana msamaha kwa Mungu ila mkeo usimwambie maana kuna wanawake wakijua wakaumia roho basi ndio utakuwa mwanzo wa mabalaa kwako. Bila kusahau kumwombea huyo mtoto haram ili akiwa mkubwa Mungu amtakase.
Wifi yangu alikuwa anawaambia kaka zake ukiona mwanamke amejua una mke na akabeba mimba muogope sana hata mtoto atakayezaa ni matatizo. Si kwa wote wako hivyo ila inahitaji maombi ya Mungu, kuzaliwa hii dunia halafu baba yako anataka kukuficha anajua kuwa alitenda dhambi ukapatikana inaumiza sana
 
Ana 6months mkuu
mbona una papara sana kwani mkeo hana mtoto ? mwanaume ni mtu wa mipango na utaratibu, kumbuka umeshakosea hivyo nenda mdogo mdogo kwa sasa mtoto hajui lolote bado. ukifanya papara utakuwa unapoteza pesa kwa huyo mwanamke tu. hakikisha huduma za msingi mtoto na mama yake wanapata mengine subiri kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikia braza hapo umekosea sana. Hata unachofikiria kinaweza kutokuwa sahihi. Hapo pigana ni vipi mkeo ajue na abaki katika ndoa.

Kwanza tujue wewe ni muislam au mkristu?.

Kama ni muislam jaribu kuongea na side chick kwamba unaandaa ndoa feki lengo ni kutaka mtoto wake atambulike katika familia yako ili asikose haki zake za msingi.

Kisha rudi kwa wife mfahamishe kusudio lako la mke wa pili, onyesha kwa vitendo kwamba umezamilia na angalia response yake. Almost hatopenda na ukiona kapanic, mtoe out na mweleze kwa nini unataka kuoa, kwamba kuna mwanamke ana mtoto na hukuwa na nia ya kuoa ila unataka kumuoa ili umtunze mwanao hivyo akupe ushauri kati ya yafuatayo:-

1. Umuoe ili umtunze akiwa mke
2. Usimuoe ila umtunze kwa kumpatia huduma akiwa mbali
3. Umlete alelewe hapo nyumbani.

Hapo target yako ni 2, na atahisi kufanya hivyo umempunguzia ushindani na hato kuwa na madhara kuliko kama utaamua kumwambia huku umenywea na kujiona mkosaji, atakusumbua na huenda ndoa yako itatikisika. The same applied hata uwe mkristu we mwambie tu utafunga ndoa za mila ili tu umpunguze nguvu kabla hujamfikishia kusudio lako.

Vinginevyo kumjengea nyumba bila haki za msingi za mtoto ni sawa na kazi bure. Utamfanya hata ikitokea msiba wako ashindwe kujitambulisha kama ni mtoto wako msibani. Pole sana.




Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mtoto afichwe bila mama mzazi kujua, dunia ya wapi hii! Kwanza huu ni unyanyasi kwa mama mzazi mwenye haki zote na mwanaye, pili hili jambo haliwezekani dunia ya leo unless huyo ni mwanamke mjinga kabisa asiyeweza kujua wala kufuatilia nini kinaendelea.
 
Mi nimemruhusu azae mmoja tu ili tuwe na watoto watatu ila mmoja huyo atalea mwenyewe mi hanihusu.Sijui atatekeleza kweli? Au ndo fungulia mbwa kabisa! Ha ha haaa,sasa kijana mi naona huna haja ya kuogopa..we mwambie ukweli kwamba kuna mtoto nje. atakasirika lakini mwishowe atakuelewa
 
Kama ukitaka kujenga nyumba nitafute nikuchoree Ramani kijumba cha kishkaji cha vyumba viwili kisubule kidogo kajiko kadogo na parking ya gari moja tu. Ukijenga kubwa na parking kubwa utakuta midume inakuja kupaua mchepuko wako.

Halafu mruhusu huyo mchepuko aolewe yaani achana nae kimapenzi na usiwe na wivu nae deal na mtoto tu ingawa inaonekana huyo demu alikutegeshea maana haiwezekani umesubiri mpaka mtoto anazaliwa ndio unaambiwa wakati mngeweza kuiflash mimba kwa chupa moja tu ya K VANT
 
[emoji1787][emoji28][emoji1787]

California love
 
another single mother registered.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Sent using Redmi Note 7 Pro
 
Wewe jamaa unakwama sana,

California love
 
Ah wee muweke wazi mkeo mwambie nimegegeda huku nje na mtoto kapatikana
Sasa cha msingi ni kwamba mie yule ninamuhudumia na nanua hutalilenda hilo but ndio nilishaamua maana mie ndio kichwa cha familia.
 
Nipo hapa namuhurumia tu huyo mwanamke mwenzangu (mkeo), mana machozi yako karibu kuanza kumtoka, usaliti unauma jamani chaaa, tena usaliti wa mpaka kuletewa mtoto uuuwiii i feel so so sorry her

Mna roho mbaya tuu... Kizuri share na wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…