kuna mda hata mimi nafikiria kuhusu hili suala la ulozi, ina maana nimtozee na huyu mtoto mkuu? kwangu inapoishi familia yangu hapajui na wala mke wangu hamjui niko nae huku mkoa ninaofanyia kaziHapo ndipo ulipofanya kosa. Huyu amejipanga kukuvunjia ndoa yako. Utayaona baadae. Utarogwa familia itasumbuliwa na utapelekwa mpaka ustawi wa jamii. Mwanamke amekuzidi akili hapo tu
Hapana Extrovert hii unaangalia where applicable ni mambo ya psychology tu hizi defence mechanism, mjengee hofu ili umpunguze nguvu ya kukusumbua utakapo lipua bomb.Hujawajua wanawake wewe, huna tofauti na yule aliyesema tumia ubabe asipokuelewa fukuza.
Mwanamke utakayeenda nae kwa style hio labda uhakikishe anakutegemea kwa 100% yeye pamoja na ndugu zake. Kwa maana awe sawa na wale mabinti wa kigogo ambao hawanaga kazi wala biashara wao wanasuburia mume asimamie kuanzia kwake mpaka kwa mashemeji na ukweni.
Kinyume na hapo show itakuwa kali!!!
mwache amjengee tu na gari amnunulie asipate shida kumpeleka mtoto clinicUkute/uje kuambiwa mtoto sio wako, hapo ndo utaomba dunia isimame ushuke.
Kwa kweli. Akishafanya hivyo, baadae moto atauona. Upeleke matunguu yako kwa mme mwenzio et mtoto wangu.mwache amjengee tu na gari amnunulie asipate shida kumpeleka mtoto clinic
Hata mchepuko wangu alikuwa hivi hivi aligoma kutoa na kudai atalea mwenyewe ,nlimkomalia hadi akatoa now Nina amani sina mategemeo tena ya mtoto nje ya ndoaaligoma kutoa kaka na alikuwa tayari alee mwenyewe ila sio kuitoa
Aiseee hongera mkuu, Mimi ndo yameshanikuta hivoHata mchepuko wangu alikuwa hivi hivi aligoma kutoa na kudai atalea mwenyewe ,nlimkomalia hadi akatoa now Nina amani sina mategemeo tena ya mtoto nje ya ndoa
[emoji23][emoji23] kwahyo ukimzalisha utafaidika na nini?Kwa ujinga huu wanawake mliokuwa nao wacha tuendelee kuwagegeda tuu na kuwazalisha.
Ulifanya kosa kubwa sana kutoa. Huwezi jua huyo mtoto angekuwa nani ktk maisha yako... Fanya mpe mimba nyingne mlee mtotoHata mchepuko wangu alikuwa hivi hivi aligoma kutoa na kudai atalea mwenyewe ,nlimkomalia hadi akatoa now Nina amani sina mategemeo tena ya mtoto nje ya ndoa
Wewe uko tayari kushare mkeo na wanaume wengine?Mna roho mbaya tuu... Kizuri share na wenzio.
Dead meat!Kwa ujinga huu wanawake mliokuwa nao wacha tuendelee kuwagegeda tuu na kuwazalisha.
Yaani unataka kuwashia mwenzako moto Wa tipa. Kitanuka huko out mpaka jamaa atatafuta pa kukimbiliaSimple sana hii,
Mchukue wife mtoe out mbali huko, muende ijumaa lengo liwe kurudi jumapili jioni, ijumaa hiyo hiyo usiku, mwambie "mke wangu, nimekukosea na nipo hapa kukuomba msamaha" atakuuliza kosa gani? Mwanamke kiufupi hivi "nimekucheat na bahati mbaya nimesababisha mimba" then utasolve kwa kadri atakavyoreact, usiku wote utumie kumbembeleza na neno lako ni moja tu "nisamehe mke wangu", usiku huo atabwabwaja sana, au kulia or vyovyote, wew neno lako ni lile lile "nisamehe mke wangu", kadri muda unavyokwenda atakubaliana tu na ukweli.
Then, jumamosi unaendelea kuomba msamaha, jitahid kuact hata kulia, kupiga magoti. ATAKUSAMEHE TU.. wanawake wakioneshwa bila yeye huwezi wanaonaga raha sana wanasahau kila kitu, then baadae utajua mwenyewe jinsi ya kurudisha heshima yako baada ya msala kumalizika.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] kwahyo ukimzalisha utafaidika na nini?
Lakn pia utambue kuwa hata mkeo pia anaweza kugegedwa vzr tu na akazalishwa huku ww ukijiamini kuwa ni watoto wako... Dunia uwanja Wa fujo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubinafsiNipo hapa namuhurumia tu huyo mwanamke mwenzangu (mkeo), mana machozi yako karibu kuanza kumtoka, usaliti unauma jamani chaaa, tena usaliti wa mpaka kuletewa mtoto uuuwiii i feel so so sorry her
DuuuhMungu akusaidie maana kwa maisha ya leo, mshika mawili moja umponyoka. Unaweza kumsaidia huyo mama wa mtoto wako lakini siri itafichuka tu na hapo ndipo utaona machungu. Wanawake hawana siri. Siku ukimkorofisha mama yake huyo mtoto wa pembeni, atatuma message kwa mkeo na utatamani ardhi ipasuke.
Ushauri wangu kuwa mkweli kwa wife wako na kumwomba msamaha, umchukue huyo mtoto ukaye naye.
Hizo imani tu,binafsi sina muda wa kuzifikiria,mwanamke nimemtomba kashika mimba haeleweki ataitoa tu liwalo na liweWanaume mnaowaambia wanawake watoe mimba kwa kweli cjui niwape jina gani,mnakua hamjatatua tatizo, maana hujui uyo anayetolewa angekua nani hapa duniani maybe angekua raisi, doctor or whatever sasa kwakuogopa binadamu mnzako unamfanyia ukatili uliyempa mimba atoe baada ya hapo unajisifu nakuona Upo sahihi sana, kitanda hakizai haramu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo demu wa Singida huko halafu mambo mengi sitaki kujipa stress Mimi liwalo na liwe na demu mwenyewe nishampotezea baada ya Mimi kuhakikisha hana mimba niliyompaUlifanya kosa kubwa sana kutoa. Huwezi jua huyo mtoto angekuwa nani ktk maisha yako... Fanya mpe mimba nyingne mlee mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app