Nimemkosea sana mke wangu. Ushauri wenu tafadhali

Broo ungenyoosha tu mkono useme hujanielewa, mtoto hafichwi kama ambavyo umeelewa, pia jamaa amesema hataki mkewe na ndugu wajue, unadhani bila ya jamaa kutengana na huo mchepuko kuna nini!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa vizuri umwambie mke wako mapema pia uombe radhi kutoka moyoni,

Suala la kuficha hutaweza ficha mtoto milele lazima ajue.akifahamu mapema maumivu yake yatakuwa tofauti na mwna afikishe miaka 8+ hiyo itakuwa hatari zaidi

Mweke wazi mapema ili kujenga kesho yenye amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mda hata mimi nafikiria kuhusu hili suala la ulozi, ina maana nimtozee na huyu mtoto mkuu? kwangu inapoishi familia yangu hapajui na wala mke wangu hamjui niko nae huku mkoa ninaofanyia kazi
Umeshafanya kosa hapo huwezi kukimbia damu yako isiyo na kosa ila kwa kuwa yeye (mama Mtoto) alisema atamtunza mwenyewe unaweza kuwakimbia kwa kigezo hicho ingawa atakupata tu
 
Dah binadamu tunatofautiana, wengine kuzini tu nje ya ndoa ni ngumu kabisa na inakukosesha amani, mtu anazaa kabisa dah..poleni sana wake zetu, Mungu atusaidie kwenye ndoa zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…