Nimemkubali sana Hanstone wa iokote

Huyu dogo nimetokea kumkubali sana baada ya kumsikia kwenye wimbo wa iokote wa yeye na maua sama.

Kwa hakika ule wimbo bila kuwepo yeye usingekuwa wimbo wa taifa kama ilivyo hivi sasa.
Acha upuuzi wewe,wimbo gani ule?
 
Ile video binasfi sijaipenda iko kama disco version... Natamani watoe TV(viewers) version... Halafu director awe Godfather.
 
Write your reply...
dogo umeamua kuja kujipa promo, lakini acha kum-copy diamond..
 
Huyu dogo nimetokea kumkubali sana baada ya kumsikia kwenye wimbo wa iokote wa yeye na maua sama.

Kwa hakika ule wimbo bila kuwepo yeye usingekuwa wimbo wa taifa kama ilivyo hivi sasa.
Sijawahi ikubali hii nyimbo
 
Huyu dogo nimetokea kumkubali sana baada ya kumsikia kwenye wimbo wa iokote wa yeye na maua sama.

Kwa hakika ule wimbo bila kuwepo yeye usingekuwa wimbo wa taifa kama ilivyo hivi sasa.
Huo wimbo mbayaaaa ninauchukia sana.
 
Wimbo wa Taifa? Yan tunaweka mikono kifuani,tunakakamaa,askari wanapiga salute tunaanza kuimba iokote sjaelewa au wimbo wa taifa la wagagagigikoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…