ukuwi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 861
- 1,426
Nilikuwa nazingua tu mkuu.wasiofahamu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa nazingua tu mkuu.wasiofahamu mkuu
Acha upuuzi wewe,wimbo gani ule?Huyu dogo nimetokea kumkubali sana baada ya kumsikia kwenye wimbo wa iokote wa yeye na maua sama.
Kwa hakika ule wimbo bila kuwepo yeye usingekuwa wimbo wa taifa kama ilivyo hivi sasa.
bongoflevaAcha upuuzi wewe,wimbo gani ule?
Kwa msiofahamu huyo chalii ni mtoto wa BANZA STONE
sio Taifa bali EA nzima..wachezaji wa Timu ya Taifa ya Burundi waliucheza dressing room baada ya kutoa sare na Mali ugeniniKuweni serious basi... Iokote wimbo wa taifa!??
Sijawahi ikubali hii nyimboHuyu dogo nimetokea kumkubali sana baada ya kumsikia kwenye wimbo wa iokote wa yeye na maua sama.
Kwa hakika ule wimbo bila kuwepo yeye usingekuwa wimbo wa taifa kama ilivyo hivi sasa.
Huo wimbo mbayaaaa ninauchukia sana.Huyu dogo nimetokea kumkubali sana baada ya kumsikia kwenye wimbo wa iokote wa yeye na maua sama.
Kwa hakika ule wimbo bila kuwepo yeye usingekuwa wimbo wa taifa kama ilivyo hivi sasa.
😂😂Kuweni serious basi... Iokote wimbo wa taifa!??