Nimemkumbuka Agnes Masogange Leo daah alikuwa hot sana

Nimemkumbuka Agnes Masogange Leo daah alikuwa hot sana

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
IMG_20190201_072631_625.jpeg

Kweli udongo unameza
 
Juyu dada jamani dah!, Mbona mnataka kutuliza tena saivi
 
Kuna mengi sana ya kujifunza juu ya haya maisha kupitia watu kama hawa (mastaa) waliokuwa wamejaaliwa uzuri wa maumbo n.k na life styles zao...hapa ndo unapata somo kwamba hata uweje na hata uishi vipi ipo siku lazima utakufa na hapo ndo utakuwa mwisho wako wa kila kitu...kuna somo kubwa sana hapa kwa wenye kutafakari.

Allah amrehemu na ampunguzie adhabu za kaburi..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom