Nimemkumbuka Anko Sam wa Radio Free Africa

MZIBHAZI

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
520
Reaction score
139
Hivi huyu jamaaa alienda wapii maana alikua anaweza sana hasa kipindi cha bunge la wasikilizaji na weekend fever kama kid hayupo alikua anaweza sana huyuu mtuu ni level nyingine na SAUTI yake ya kiume balaaa na utundu nini aaaah kiukwelii nataman sana kumsikia huyuu jamaa.Hata kama wanasema sijui Clouds kuna watangazaji wajanja aaah kwa Anko Sam baaaaadooo sana wajifunze sema ndiyo hivyo kapotea sana daaah
 


Kwa mara ya mwisho nilimsikia radio moja inaitwa Efm ambayo inarusha matangazo yake kutokea jijini Dar.
 
Yupo efm kipind kinaitwa x-rays.... yupo na soggy dog hunter.... all about bongo fleva......
 
kipindi yupo mwanza tulikua tunaishi mtaa mmoja jamaa ni chapombe sana tena aliepitiliza nafikiri r.f.a alikimbia mshahara mdogo
 
kipindi yupo mwanza tulikua tunaishi mtaa mmoja jamaa ni chapombe sana tena aliepitiliza nafikiri r.f.a alikimbia mshahara mdogo

Hahahahaha ila akinywa hazingui eeeh??au akinywa analeta makuzi??
 
hahaahaaa inaonekana stress za antony maana hao jamaa kuna Kamukulu,Fredwaa,Matalange,Roy Maganga,Dj John walikuwa watu wa mitungi sana na ni vipaji vya hali ya juu,nakumbuka Villa tushakula nao sana bata,SAM DAVIS KIAMA yupo EFM Dar ila namskia jumamosi kwenye hiphop ambayo anaijua sana,sema angepata redio kubwa zaidi angekuwa mbali maana aliendesha kwa weledi sana Bunge la Wasikilizaji kipindi yupo RFA,hivi na huyu Godwin Gondwe si alikua nao RFA??kweli ulikua mtambo wa kutoa vipaji.....
 

Aaah mkuu Sam ni level nyingine sana yule jamaaa anaweza sana kwanza ni flexible ukimpa kipindi cha kijanja ukimpa kipindi cha kistaarabu vyoote anaviwezea mpka huamini huyu mtuu ni nomaa sana Hata E fm kama wanajua wamuweke on Air sana wataona jins anavyokimbizaa jamaa ni talented kwenye mambo ya utangazaji
 
Hivi na glory Robinson(mtoto wa mama sabuni) yupo wapi huyu maana nilikuwa namkubali sana alipokuwa anakaa na kid&DJ john.
 
da mkuu umenikumbusha moja kati ya watangazaji bora kwangu kutokea!nlikua nampenda alivokua yko flexible vipind vyote anatoboa yan!nakumbuka wakati nasoma ikifika ijumaa ucku ikifika weekend fever basi nakua nae had saa 7!alikua anapiga conscious sana!n nlimsikia kwenye efm kwenye tangazo flani hivi! Samuel davis joseph kiama dah!
 
N kwel uncle sam n kati ya watangazaj bora waliowah kupita RFA na kuipandisha chati hyo radio jamaa anaujua muzik mzuri hta kwny udj alikuwa anaweza.Pale RFA bdo cjaona mtu aliyeziba pengo lake,likewise upande wa kiss fm cjaona wa kureplace nafas ya Ezden the rocker,japo kiss fm upande wa team ya dj's wamejipanga vizuri ingefaa kwa sasa warecruit presenters weng wakal wafunike km enz hzo za steve kafaya,tobby,chriss et al.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…