Hivi huyu jamaaa alienda wapii maana alikua anaweza sana hasa kipindi cha bunge la wasikilizaji na weekend fever kama kid hayupo alikua anaweza sana huyuu mtuu ni level nyingine na SAUTI yake ya kiume balaaa na utundu nini aaaah kiukwelii nataman sana kumsikia huyuu jamaa.Hata kama wanasema sijui Clouds kuna watangazaji wajanja aaah kwa Anko Sam baaaaadooo sana wajifunze sema ndiyo hivyo kapotea sana daaah