falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Yeye alikuwa anampenda atoto. Kama kuna mwingine anajita e... sio huyo anayempendaUnajifanya hujui jina lake la sasa
hehehehehehe sawa blaza nimekuelewa ila nahitaji kujua mbona huyu mrembo yuko kimyakuwa makini sana kijana
kuwa makini
yaaani amezimika gafla sana simuoni na aijui kapatwa na niniYeye alikuwa anampenda atoto. Kama kuna mwingine anajita e... sio huyo anayempenda
Sent using Jamii Forums mobile app
mi silijui kweli nambie hata pm kijana wanguUnajifanya hujui jina lake la sasa
sister huyu kagusa moyo wa mutu
Mbona yupo humu siku zote mkuu?Jamani leo imetokea nimemkumbuka mwana MMU maarufu wa enzi zile anaitwa @atoto jamani huyu bidada nilikuwa nampendaga tu bila sababu yaani nampenda tu simaanishi kumpenda kimapenzi japokuwa pangekuwa na nafasi huenda ingelikuwa hivyo. Atoto popote ulipo au anejua atoto yuko wapi anipm. Huyu dada ni charming sana hana makuu.
Ungekuwa unampenda kama unavyosema ungejua jina gani anatumia sasami silijui kweli nambie hata pm kijana wangu
Namuona namuona anatafuta kutolewa kishipasister huyu kagusa moyo wa mutu
Kaolewa mwaka 2014yaaani amezimika gafla sana simuoni na aijui kapatwa na nini
hehehehe ila we kijana wangu mi nimeuliza tu yuko wapi, unataka hadi clkey asikieUngekuwa unampenda kama unavyosema ungejua jina gani anatumia sasa
namuwekea kikubwa mpaka atakuwa anavaa mashuka tu