Nimemkumbuka Atoto

Nimemkumbuka Atoto

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
Jamani leo imetokea nimemkumbuka mwana MMU maarufu wa enzi zile anaitwa @atoto jamani huyu bidada nilikuwa nampendaga tu bila sababu yaani nampenda tu simaanishi kumpenda kimapenzi japokuwa pangekuwa na nafasi huenda ingelikuwa hivyo. Atoto popote ulipo au anejua atoto yuko wapi anipm. Huyu dada ni charming sana hana makuu.
 
Mbona yupo humu siku zote mkuu?
 
Back
Top Bottom