Mkitukanwa mnasema chadema wanatukana viongozi.Tundu Lisu ni mhaini
Nikiwa chuo kuna bint alinipenda sana, asilimia kubwa yeye ndio alielua analazimisha uhuaiano, na sikua na kitu wala nini, ali ni care sana.
Tatizo nilikua namchukulia poa,na nilimliza kweli kweli, mpaka mwisho wa siku akaamua kukubali matokeo.
Sasa baada ya chuo, niko na kazi na nikatafuta yule niliedhan ndio nampenda, ila kwa asilimia kubwa naona nilikosea sana.
Huyu wa sasa hanijali kabisa na naona hanipendi, yuko nami sababu tu ya maisha na vile nilivyo navyo.
Hakina ni bora mtu akusaliti utamuacha kuliko unaishi na mtu ambae haoneshi ku appropriate zile efforts zako unazozifanya kwa familia na kwake pia. Ni jambo linauma sana.
Unaishi na mtu unajua kabisa huko mbeleni hata ilitokea ukapata shida, si mtu ambae anakua na wewe bega kwa bega na pengine hata aombee ufe ili apate mali.
Kama ingenifaa nioe tena, ningetafuta atakae nipenda yeye mwenyewe. Kingine, ukishaongia kazini huku nadhan kukutana na mapenzi ya dhani ni uongo kabisa.
Na ukampa kibuyu akakicharanga nyie wanawake nyieUmenikumbusha mwanaume mmoja hivi X wangu...
Jamani B nilimpenda sana, ila akawa ananiona mimi nyau, basi akaamua kumuoa chausiku mi akanitupilia mbali...
Mi ni wale ukinionyesha love nakupenda mpaka ukomee🤣
Kama ilivyo milima haikutani ila binadamu hukutana, nikapangiwa kazi mkoa alipo yeye...
Natoka zangu kazini nakutana naye jamani nilifurahi sana, akaniambia anaenda kumchukua mkewe 🤣
Woi Wala Roho haikuuma tenaa, maana nilishamsahau B...
Mi nikampa namba nikaondoka, akaanza kunipigia, ikumbukwe nilishamfuta kama sio kumdelete Rohoni ila ilinichukua muda kwa kipindi hicho...
Kaka akawa ndo anataka kuanzisha penzi penzini, mi nikamwambia haiwezekani...
Sasa akaanza kuniambia matatizo ya mkewe 🤣 mi nikamwambia vumilia ndo ndoa zilivyo...oooh najuta Bora ningekuoa wewe...
Nifupishe tu kaka alining'ang'ania mpaka nikajutaaa kuonana nae...
Iko hivi, kwa mwanaume unashauriwa upate mwanamke anayekupenda yeye kwa kila hali (mfano huyo wa chuo), baada ya hapo mpende wewe na umuoe, hutajuta. Ogopa sana mwanamke ambaye anaona wewe kumpenda amekupa offer.Nikiwa chuo kuna bint alinipenda sana, asilimia kubwa yeye ndio alielua analazimisha uhuaiano, na sikua na kitu wala nini, ali ni care sana.
Tatizo nilikua namchukulia poa,na nilimliza kweli kweli, mpaka mwisho wa siku akaamua kukubali matokeo.
Sasa baada ya chuo, niko na kazi na nikatafuta yule niliedhan ndio nampenda, ila kwa asilimia kubwa naona nilikosea sana.
Huyu wa sasa hanijali kabisa na naona hanipendi, yuko nami sababu tu ya maisha na vile nilivyo navyo.
Hakina ni bora mtu akusaliti utamuacha kuliko unaishi na mtu ambae haoneshi ku appropriate zile efforts zako unazozifanya kwa familia na kwake pia. Ni jambo linauma sana.
Unaishi na mtu unajua kabisa huko mbeleni hata ilitokea ukapata shida, si mtu ambae anakua na wewe bega kwa bega na pengine hata aombee ufe ili apate mali.
Kama ingenifaa nioe tena, ningetafuta atakae nipenda yeye mwenyewe. Kingine, ukishaongia kazini huku nadhan kukutana na mapenzi ya dhani ni uongo kabisa.
Je huyo ulienae humfanyii unampenda kama hyo x?Umenikumbusha mwanaume mmoja hivi X wangu...
Jamani B nilimpenda sana, ila akawa ananiona mimi nyau, basi akaamua kumuoa chausiku mi akanitupilia mbali...
Mi ni wale ukinionyesha love nakupenda mpaka ukomee🤣
Kama ilivyo milima haikutani ila binadamu hukutana, nikapangiwa kazi mkoa alipo yeye...
Natoka zangu kazini nakutana naye jamani nilifurahi sana, akaniambia anaenda kumchukua mkewe 🤣
Woi Wala Roho haikuuma tenaa, maana nilishamsahau B...
Mi nikampa namba nikaondoka, akaanza kunipigia, ikumbukwe nilishamfuta kama sio kumdelete Rohoni ila ilinichukua muda kwa kipindi hicho...
Kaka akawa ndo anataka kuanzisha penzi penzini, mi nikamwambia haiwezekani...
Sasa akaanza kuniambia matatizo ya mkewe 🤣 mi nikamwambia vumilia ndo ndoa zilivyo...oooh najuta Bora ningekuoa wewe...
Nifupishe tu kaka alining'ang'ania mpaka nikajutaaa kuonana nae...
Ukimtafuta huyo x huwezi kumpata Tena?Nikiwa chuo kuna bint alinipenda sana, asilimia kubwa yeye ndio alielua analazimisha uhuaiano, na sikua na kitu wala nini, ali ni care sana.
Tatizo nilikua namchukulia poa,na nilimliza kweli kweli, mpaka mwisho wa siku akaamua kukubali matokeo.
Sasa baada ya chuo, niko na kazi na nikatafuta yule niliedhan ndio nampenda, ila kwa asilimia kubwa naona nilikosea sana.
Huyu wa sasa hanijali kabisa na naona hanipendi, yuko nami sababu tu ya maisha na vile nilivyo navyo.
Hakina ni bora mtu akusaliti utamuacha kuliko unaishi na mtu ambae haoneshi ku appropriate zile efforts zako unazozifanya kwa familia na kwake pia. Ni jambo linauma sana.
Unaishi na mtu unajua kabisa huko mbeleni hata ilitokea ukapata shida, si mtu ambae anakua na wewe bega kwa bega na pengine hata aombee ufe ili apate mali.
Kama ingenifaa nioe tena, ningetafuta atakae nipenda yeye mwenyewe. Kingine, ukishaongia kazini huku nadhan kukutana na mapenzi ya dhani ni uongo kabisa.
Hatari yaniKama draft tu, one wrong move, umekwisha
Naona Mkuu umeamua kuteseka kwa mchezo uliouchagua mwenyewe. That's not GOOD.Unaishi na mtu unajua kabisa huko mbeleni hata ilitokea ukapata shida, si mtu ambae anakua na wewe bega kwa bega na pengine hata aombee ufe ili apate mali.
Mtu km huyo kuliko umpe tena ni bora umpe kichaa ama ufe tu na hicho kipururuUmenikumbusha mwanaume mmoja hivi X wangu...
Jamani B nilimpenda sana, ila akawa ananiona mimi nyau, basi akaamua kumuoa chausiku mi akanitupilia mbali...
Mi ni wale ukinionyesha love nakupenda mpaka ukomee🤣
Kama ilivyo milima haikutani ila binadamu hukutana, nikapangiwa kazi mkoa alipo yeye...
Natoka zangu kazini nakutana naye jamani nilifurahi sana, akaniambia anaenda kumchukua mkewe 🤣
Woi Wala Roho haikuuma tenaa, maana nilishamsahau B...
Mi nikampa namba nikaondoka, akaanza kunipigia, ikumbukwe nilishamfuta kama sio kumdelete Rohoni ila ilinichukua muda kwa kipindi hicho...
Kaka akawa ndo anataka kuanzisha penzi penzini, mi nikamwambia haiwezekani...
Sasa akaanza kuniambia matatizo ya mkewe 🤣 mi nikamwambia vumilia ndo ndoa zilivyo...oooh najuta Bora ningekuoa wewe...
Nifupishe tu kaka alining'ang'ania mpaka nikajutaaa kuonana nae...
Hawa watu wanaolilia mapenzi sijui hawajawai kufundwa?penzi ni la kulilia kwel??Naona Mkuu umeamua kuteseka kwa mchezo uliouchagua mwenyewe. That's not GOOD.
Kwenye Maisha focus na kupambania ndoto zako huku ukijua kwenye hii Dunia ukizaliwa Mwanaume, basi wakukusaidia ni wewe mwenyewe na Mungu unayemuamini. Otherwise FALSE.
Mwanamke yupo kwa ajili ya kuendeleza Bloodline yako, hilo ndio jukumu lake, Usitegemee mwanamke aku-treat kama Mama yako mzazi, hao wanawake sio wa zama hizi.
Be a Man, Maisha sio mchezo wa Uwoga.