Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 783
- 3,666
Nikiwa chuo kuna bint alinipenda sana, asilimia kubwa yeye ndio alielua analazimisha uhuaiano, na sikua na kitu wala nini, ali ni care sana.
Tatizo nilikua namchukulia poa,na nilimliza kweli kweli, mpaka mwisho wa siku akaamua kukubali matokeo.
Sasa baada ya chuo, niko na kazi na nikatafuta yule niliedhan ndio nampenda, ila kwa asilimia kubwa naona nilikosea sana.
Huyu wa sasa hanijali kabisa na naona hanipendi, yuko nami sababu tu ya maisha na vile nilivyo navyo.
Hakina ni bora mtu akusaliti utamuacha kuliko unaishi na mtu ambae haoneshi ku appropriate zile efforts zako unazozifanya kwa familia na kwake pia. Ni jambo linauma sana.
Unaishi na mtu unajua kabisa huko mbeleni hata ilitokea ukapata shida, si mtu ambae anakua na wewe bega kwa bega na pengine hata aombee ufe ili apate mali.
Kama ingenifaa nioe tena, ningetafuta atakae nipenda yeye mwenyewe. Kingine, ukishaongia kazini huku nadhan kukutana na mapenzi ya dhani ni uongo kabisa.