NIMEMKUMBUKA "K 4 REAL", WAPI K 4 REAL MZEE WA MIKUMI?!

UngaUnga

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,724
Reaction score
1,464
Nimejikuta tu nakakumbuka haka kajamaa "mzee wa mikumi" na vijistori vyake vya mikumi! kuna watu huchangamsha jf, kama una frastration zinaisha unabaki kucheka tu,huyu alikuwa mmojawapo ana vituko! achilia yule ambae dish km limeyumba vile "KISANDU"
 
Nadhani humu jf kuna jamaa zake wa karibu watakujibu aliko au yeye mwenyewe atakuja kama ujumbe utamfikia,
 
Vijistori vyake vilikuwa vinasadifu age yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…