Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Wewe jamaa ulikuwa unapaswa utandikwe viboko. You are very annoying attention seeker. Una mada za kuprovoke tu ili uonekane relevant. So childishHamjambo!
Hii nchi ipewe tuzo kwa kurukia mambo na matukio. Sijui nilie. Nikajirushe ghorofani au pale ferry.
Yaani Madowo alivyokuwa anaripoti. Daah! Acha tuu.
Wadau tunafanyaje hapa? Wale wa matusi leo nipo kwenye mfungo wa siku saba. Nikitoka huko tutaendelea tulipoishia.
Aiseeh
Uzi wa hovyo kabisa toka kwa taikuni, master mzee wa fasihi na mbwembwe mingi.Hamjambo!
Hii nchi ipewe tuzo kwa kurukia mambo na matukio. Sijui nilie. Nikajirushe ghorofani au pale ferry.
Yaani Madowo alivyokuwa anaripoti. Daah! Acha tuu.
Wadau tunafanyaje hapa? Wale wa matusi leo nipo kwenye mfungo wa siku saba. Nikitoka huko tutaendelea tulipoishia.
Aiseeh
Mbona unaandika kwa kuchungulia ??Hamjambo!
Hii nchi ipewe tuzo kwa kurukia mambo na matukio. Sijui nilie. Nikajirushe ghorofani au pale ferry.
Yaani Madowo alivyokuwa anaripoti. Daah! Acha tuu.
Wadau tunafanyaje hapa? Wale wa matusi leo nipo kwenye mfungo wa siku saba. Nikitoka huko tutaendelea tulipoishia.
Aiseeh
Kwa sisi waandishi na media ya Tanzania, ni aibu mambo yetu, yametokea hapa kwetu, halafu tunaripotiwa na wageni na media za nje, ni aibu kwetu!.Hamjambo!
Yaani Madowo alivyokuwa anaripoti. Daah! Acha tuu.
Madowo kafanyaje?Hamjambo!
Hii nchi ipewe tuzo kwa kurukia mambo na matukio. Sijui nilie. Nikajirushe ghorofani au pale ferry.
Yaani Madowo alivyokuwa anaripoti. Daah! Acha tuu.
Wadau tunafanyaje hapa? Wale wa matusi leo nipo kwenye mfungo wa siku saba. Nikitoka huko tutaendelea tulipoishia.
Aiseeh
Madowo kafanyaje??
Kwa sisi waandishi na media ya Tanzania, ni aibu mambo yetu, yametokea hapa kwetu, halafu tunaripotiwa na wageni na media za nje, ni aibu kwetu!.
P
Mbona unaandika kwa kuchungulia ??
Uzi wa hovyo kabisa toka kwa taikuni, master mzee wa fasihi na mbwembwe mingi.
Ama umelewa, ama umevuta afu haijakolea.
Watanzania wengi sana walio Nyutro kama mleta uzi wana IQ za chini ya 75Wewe ni mnafiki. Ulitaka matukio yatokee yasinadiliwe?. Kila tukio Lina umuhimu wake. Kila jambo linarekodiwa. Nyie ni wale mmejificha na kujifanya wajuaji wakati hakuna unalijua Zaidi ya kuandika maneno marefu.
Huyo madowo amekuchekesha kwa lipi katika ripoti zake? Je ni kuhusu matukio ya uchaguzi Tanzania? Kama ni hayo unatukosea watanzania pakubwa
Mambo yake yapi?Nimekumbuka mambo yake.
Wewe ni mnafiki. Ulitaka matukio yatokee yasinadiliwe?. Kila tukio Lina umuhimu wake. Kila jambo linarekodiwa. Nyie ni wale mmejificha na kujifanya wajuaji wakati hakuna unalijua Zaidi ya kuandika maneno marefu.