Nimemkumbuka Larry Madowo nikaishia kutingisha kichwa kwa masikitiko

Nimemkumbuka Larry Madowo nikaishia kutingisha kichwa kwa masikitiko

Wewe jamaa ulikuwa unapaswa utandikwe viboko. You are very annoying attention seeker. Una mada za kuprovoke tu ili uonekane relevant. So childish

Kama ni attention seeker unamaanisha lengo langu limetimia kwako?
Kwa nini mtazamo wako unafikiri uko relevant kwenye kile ninachofanya humu?
 
Sasa unamtegea nani hiki kitendawili cha kijiwe cha kahawa pale kwa Mpemba sokoni Tandika mabatini?

Huu sio wakati wa kusema au kuandika andika mafumbo. Huu ni wakati wa kusema kwa uwazi na usahihi chochote ulichonacho pengine kikaikoa jamii ya Watanganyika kuangamizwa na Wazanzibari..!!

Utasema kwa uwazi kwa watu waliojificha kwenye I'd fake?
 
Madowo alifanya kile ambacho waandishi wa CCM [99 % sio wa habari maana Tanzania hawapo kwa sasa] walitakiwa kuripoti ila walishindwa na kudhihirisha hilo Madowo alipoomba kuingia walimwambia atapewa ruhusa kama mtalii tu sio ripota , akina Msigwa waliweka kigingi anayetaka kuripoti ataomba kupitia ile bodi uchwara ya ithibati ambapo walichuja na kuacha chawa wa CCM kama ripota wa uchafuzi mkuu sasa wakati October 29 watu wanauwana waandishi wa CCM walijivua jukumu lao na video tunazoziona 99% za October 29 zilirekodiwa na watu wasio waandishi wa habari.

Madowo sio mtu wa kumtilia shaka kwa kudhirisha hilo maandamano ya June 24 , 2024 ambapo risasi zilikua zikirindima bungeni pale Nairobi Madowo alikuwepo field kuripoti matukio hata mtu wa kwanza kabisa kupigwa risasi pale getini Madowo ndio alirekodi sambamba na polisi aliyempiga risasi alijulika a kupitia video yake.

Kwa watanzania timamu Madowo alifanya kazi kubwa kutoa ripoti ya October 29 licha ya kutokuwepo kutokana na zuio la akina Misgwa

Kwa upande wangu mimi Madowo alisimama kwnye nafasi yake na simdai kabisa.


View: https://youtu.be/3vAXvA5tN3o?is=jojm-HppBTM8Tvjv


View: https://youtu.be/AA1xNC4uUuk?is=jYedw0N7W2GMhAuo
 
Madowo alifanya kile ambacho waandishi wa CCM [99 % sio wa habari maana Tanzania hawapo kwa sasa] walitakiwa kuripoti ila walishindwa na kudhirisha hilo Madowo alipoomba kuingia walimwambia atapewa ruhusa kama mtalii tu sio ripota , akina Msigwa waliweka kigingi anayetaka kuripoti ataomba kupitia ile bodi uchwara ya ithibati ambapo walichuja na kuacha chawa wa CCM kama ripota wa uchafuzi mkuu sasa wakati October 29 watu wanauwana waandishi wa CCM walijivua jukumu lao na video tunazoziona 99% za October 29 zilirekodiwa na watu wasio waandishi wa habari.

Madowo sio mtu wa kumtilia shaka kwa kudhirisha hilo maandamano ya June 24 , 2024 ambapo risasi zilikua zikirindima bungeni pale Nairobi Madowo alikuwepo field kuripoti matukio hata mtu wa kwanza kabisa kupigwa risasi pale getini Madowo ndio alirekodi sambamba na polisi aliyempiga risasi alijulika a kupitia video yake.

Kwa watanzania timamu Madowo alifanya kazi kubwa kutoa ripoti ya October 29 licha ya kutokuwepo kutokana na zuio la akina Misgwa

Kwa upande wangu mimi Madowo alisimama kwnye nafasi yake na simdai kabisa.


View: https://youtu.be/3vAXvA5tN3o?is=jojm-HppBTM8Tvjv


View: https://youtu.be/AA1xNC4uUuk?is=jYedw0N7W2GMhAuo

👍
 
Back
Top Bottom