Nimemkumbuka marehemu Prof Edward K.Shayo

Nimemkumbuka marehemu Prof Edward K.Shayo

Aliitwa Prof Leonard .K. Shayo.

Hakika alikuwa mahiri wa kujenga hoja na uchambuzii makinii..Nilikuwa namfuatilia sana kupitia makala zake katika gazetil la mwananchi jpili.

RIP Prof .

Kweli wana JF mnisamehe, nimejichanganya kidogo!!
 
Huyu alifanya kampeni safi kabisa zisizo na doa. Akaonekana kituko na kichekesho kila alikopita.
Namkumbuka Prof. alipokuwa anatufundisha Hisabati UDSM, miaka ileeeeeeeee!, Thanks Kilemi kwa post yako.
 
only in math. not in computer... just put record right!


unakosea kabisa alikuwa ni mtaalamu tena mkubwa wa Computer, Mungu aiweke roho yake mahali pema, mpaka anakufa alikuwa na program yake nadhani ni ya Hospital management system na ilikuwa inatumika Hospitali ya Tumaini na Massana mara ya mwisho nakutana nae aliniambia alikuwa na mpango wakuongea na wenye mamlaka wizara ya afya ili awauzie hiyo programe, na alikuwa na programme nyingi saana anatengeneza´, Kifo chake kilikuwa cha gafla na alikufa akiwa kazini ( anafundisha Monduli) nasikia alikuwa ni mtu aliyekuwa anachapa kazi saana na kuna taarifa kwamba alikuwa analala ofisini

Mungu airehemu roho yake
 
Back
Top Bottom