jasmineAtatamani siyo wa lina mkuu,au mi ndo nimesahau
Ni kuruthumjasmine
Naomba nitumie huo wimbo kama unaoNi kuruthum
DownloadNaomba nitumie huo wimbo kama unao
Linah alifanya kava tuu mkuuKwenye red,huyo ni Linah Sanga na sio Maunda Zahir Ally Zorro
Mecheka mnoooKwani hukusikia ule wimbo wa nzela? binti alipata bwana akatoroshwa
ulete majibu sasa sio upotelee uko uko moja kwa mojaNgoja nikamuulize banana zorro
Sio kweliLinah alifanya kava tuu mkuu
Anaishi kurasini jkt kaolewaNafurahi kuwa nawe
Nataka niwe wako
Naskiliza Leo na Kesho my favorite all the time,,,
Back to the topic yupo maunda sema seems hana ramani hata kuolewa hajaolewa yupo yupo tuu
Sana tu kakaMyahudi huyu akicheza vyema pale anfield ya captain gerald