Nimemkumbuka Maunda Zorro, mwenye taarifa zake

Nimemkumbuka Maunda Zorro, mwenye taarifa zake

Kwani hukusikia ule wimbo wa nzela? binti alipata bwana akatoroshwa
 
Kweli, ila atakuwa amewekwa ndani na mtu siye penda mambo ya msiki wapike nakupakua ,

Au vipi kaka yake yule ndizi aje kuleta information zake
 
Back
Top Bottom