Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
From Lieutenant Colonel(2015) to Major General(2020).. sio mchezo.Yupo, ni rafiki yangu sana
Ni afisa Tawala mkoa FulaniMwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?
Alipotolewa Ukuu Wa Mkoa Kagera Alirudi NgomeNi afisa Tawala mkoa Fulani
Ndiyo Ukweli WenyeweYupo makao makuu anasoma magazeti
Pengine Jiwe asingefariki, jamaa angekuwa CDFFrom Lieutenant Colonel(2015) to Major General(2020).. sio mchezo.
[emoji1787][emoji1787]From Lieutenant Colonel(2015) to Major General(2020).. sio mchezo.
Nilikosa dola laki tano za deal baada ya mtu aliyetakiwa apokee huo mzigo tugawane,alifariki ghafla siku tatu kabla ya kuchukua Jackpot! Na deal likaishia hapo!!Mwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?
Makao makuu.. anatekeleza majukumu yake ya ushauriMwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?
ndio angekuwa CDF .. haya maisha acha tu.. mazingira yalikuwa upande wake.. Hata Gaguti alikuwa na upepo.. 🥴🥴Pengine Jiwe asingefariki, jamaa angekuwa CDF
hayupo kwenye mikakati.. ingawa anatmbulikanaFarao mpya hamtambui
KisukuruMwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?
Unajua Biblia ina mafunzo yote, haya tunayapitia yalishaongelewahayupo kwenye mikakati.. ingawa anatmbulikana
Ujuzi na Maarifa ndio kipengeleUnajua Biblia ina mafunzo yote, haya tunayapitia yalishaongelewa
mfumo ukimtema mtu ni 🤧🤧🤧Unajua Biblia ina mafunzo yote, haya tunayapitia yalishaongelewa