Nimemkumbuka Meja Jenerali Mbuge, yuko wapi?

Nimemkumbuka Meja Jenerali Mbuge, yuko wapi?

Niliwahi kukutana nae pale Ruvu akiwa Mkuu wa pale na baadae Nyumbani kwake Kinyerezi

ni Askari Mzalendo sana na jasiri sana. siku hizi vizazi vinatoa chawa kwa matumizi ya baadae ya Nchi

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Mbuge aliwadhulumu sana wale vijana walikuwa wanajenga Chamwino wakati wa JPM. Kwenye posho ya Tsh 50,000 ya kila kijana kwa mwezi waliyokuwa wanapewa na Serikali alikuwa anachukua Tsh 10,000 yeye binafsi. Hakuogopa kwa kuwa Magufuli alikuwa mtu wake
 
huo ndio ukweli kutoka kuiongoza JKT ... hadi alipo sasa hivi ni 🥴🥴🥴.. ila ndio ivyo unakalia tu bench.. unabaki naa story.. kutokea hapo hakuna mahala ataenda zaidi ya kusubiri kustaafu.. ila pia kawasaidia vijana wengi...
Once a General always a General.
Analipwa vizuri na ulinzi safi adi kifo ...
Atakosa tu zile pesa ambazo ni overheads kwenye miradi ya JKT.

Dunia Ina mengi anaweza kuingia new sheriff in town akampa ulaji mkubwa au cheo cha CDF kama umri na taratibu vikiruhusu.
All of these could happen just in a blink of an eye. Who thought JPM could have gone that soon?
 
Mtafute Swahiba wake mkubwa, Mlevi Mwenzake na Mpenda Mbunye ( K ) kama Yeye Carlos ( Mtoto Mkubwa wa aliyekuwa Mkuu wa JKT Tanzania na Mzanaki Mwenzangu Meja Jenerali Raphael Muhuga ) atakuelekeza alipo kwa sasa.
Yaani we jamaa una gubu kweli, yaani hakuna yeyote unayemuongelea kwa mazuri na unajua tabia ya kila mtu hususani ile tabia yake mbaya hujawahi sema mazuri ya mtu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kukutana nae pale Ruvu akiwa Mkuu wa pale na baadae Nyumbani kwake Kinyerezi

ni Askari Mzalendo sana na jasiri sana. siku hizi vizazi vinatoa chawa kwa matumizi ya baadae ya Nchi

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Umeizungumzia Ruvu hadi nimekumbuka kisa kimoja kimetokea pale mwezi uliopita kuna mtoto wa jamaa yangu amepata ujauzito akiwa palepale ruvu na kujifungua akiwa palepale. Fikiria ni binti ambaye yupo jkt kufundisha uzalendo na maadili halafu badala ya kupewa malezi anapewa mimba na kuzalia kambini.
Chakusikitisha viongozi wote wa kikosi hicho cha ruvu wapo wanadunda na kazi kama kawaida.

Sidhani kama angekuwepo JPM na Mbuge huyo mkuu wa kikosi na team yake wangekuwepo hapo.
Inasemekana pale ruvu ndipo wakubwa wa jkt wanapopitishia mafungu yao ndio maana
 
Once a General always a General.
Analipwa vizuri na ulinzi safi adi kifo ...
Atakosa tu zile pesa ambazo ni overheads kwenye miradi ya JKT.

Dunia Ina mengi anaweza kuingia new sheriff in town akampa ulaji mkubwa au cheo cha CDF kama umri na taratibu vikiruhusu.
All of these could happen just in a blink of an eye. Who thought JPM could have gone that soon?
Hakika usemalo ni kweli mkuu.. lolote hutokea..
 
Friji yangu kamwe huwa haigandishi na hapo bado sijamtaja Demu wake Mmoja mzuri, mnene mwenye Msambwanda ( ila alishaungua tokea mwaka 2005 ) na sasa Wanashea huyo Demu na Mbunge Mmoja Machachari mno na mwenye Matusi ambaye ameishi sana Kawe na sasa ana Nyumba zake za Kupanga Kawe moja ikiwa iko nyuma ya Msikiti maarufu wa kwa Londa Jirani na Soko Jipya la Kawe.

Niendelee Mkuu au kwa sasa niishie tu hapa?
Wewe kweli ni Mnyarwanda maana mnalandana kitabia.
 
Umeizungumzia Ruvu hadi nimekumbuka kisa kimoja kimetokea pale mwezi uliopita kuna mtoto wa jamaa yangu amepata ujauzito akiwa palepale ruvu na kujifungua akiwa palepale. Fikiria ni binti ambaye yupo jkt kufundisha uzalendo na maadili halafu badala ya kupewa malezi anapewa mimba na kuzalia kambini.
Chakusikitisha viongozi wote wa kikosi hicho cha ruvu wapo wanadunda na kazi kama kawaida.

Sidhani kama angekuwepo JPM na Mbuge huyo mkuu wa kikosi na team yake wangekuwepo hapo.
Inasemekana pale ruvu ndipo wakubwa wa jkt wanapopitishia mafungu yao ndio maana

Kwani mafunzo ni mda gani mkuu?
 
Mbuge aliwadhulumu sana wale vijana walikuwa wanajenga Chamwino wakati wa JPM. Kwenye posho ya Tsh 50,000 ya kila kijana kwa mwezi waliyokuwa wanapewa na Serikali alikuwa anachukua Tsh 10,000 yeye binafsi. Hakuogopa kwa kuwa Magufuli alikuwa mtu wake
hii michezo ipogo tu , fatilia hata miradi ya sumailijakata.. sio kipindi kile au hiki.. ni 🤮🤮
 
Ukiona ulikuwa na Cheo Kikubwa Jeshini ( JWTZ ) na ghafla ukaondolewa na kupelekwa kuwa Mshauri wa Mgambo jua kuwa Kwanza Umedharauliwa na Pili hiyo ni Demotion ya Kukuumiza zaidi Kisaikolojia.

Hata classmate wangu Darasa la Masters SAUT Msimbazi Centre ( School of Graduate Studies ) Dar es Salaam 2015, Luteni Kanali Erick Komba aliyekuwa Msemaji wa Jeshi ( JWTZ ) nae aliondolewa Makao na kupelekwa huko Mgambo kuwa Mshauri.

Haters LIKUD, Greatest Of All Time na CAPO DELGADO mpo? Kudadadeki......!!
Gentamicine mbona unapenda kumtaja sana greatest of all time kwenye nyuzi zako, alishakukula nini akagoma kukulipa?
 
Mwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.

Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.

Sasa hivi yuko wapi?
Nadhani huyu ni mmoja wa wakulima na wafugaji wakubwa sana hapa Tanzania.Wanaofanya shughuli zao kisasa sana. na uwekezaji wake ni mkubwa sana kwenye kilimo huko kisarawe Pwani.
 
Back
Top Bottom