Mbuge aliwadhulumu sana wale vijana walikuwa wanajenga Chamwino wakati wa JPM. Kwenye posho ya Tsh 50,000 ya kila kijana kwa mwezi waliyokuwa wanapewa na Serikali alikuwa anachukua Tsh 10,000 yeye binafsi. Hakuogopa kwa kuwa Magufuli alikuwa mtu wakeNiliwahi kukutana nae pale Ruvu akiwa Mkuu wa pale na baadae Nyumbani kwake Kinyerezi
ni Askari Mzalendo sana na jasiri sana. siku hizi vizazi vinatoa chawa kwa matumizi ya baadae ya Nchi
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Ndio mkuu sasa tunafanyeje kama kondoo wenyewe wamenona pale kwa mtume🤣🤣🤣🤣🤣[emoji38][emoji38]yaani kwa Mchungaji Askofu na Nabii! Unafaidi Sana mkubwa
Once a General always a General.huo ndio ukweli kutoka kuiongoza JKT ... hadi alipo sasa hivi ni 🥴🥴🥴.. ila ndio ivyo unakalia tu bench.. unabaki naa story.. kutokea hapo hakuna mahala ataenda zaidi ya kusubiri kustaafu.. ila pia kawasaidia vijana wengi...
Shukran Mkuu.Karibu tunywe supu mkuu[emoji23][emoji23]
Yaani we jamaa una gubu kweli, yaani hakuna yeyote unayemuongelea kwa mazuri na unajua tabia ya kila mtu hususani ile tabia yake mbaya hujawahi sema mazuri ya mtu weweMtafute Swahiba wake mkubwa, Mlevi Mwenzake na Mpenda Mbunye ( K ) kama Yeye Carlos ( Mtoto Mkubwa wa aliyekuwa Mkuu wa JKT Tanzania na Mzanaki Mwenzangu Meja Jenerali Raphael Muhuga ) atakuelekeza alipo kwa sasa.
Umeizungumzia Ruvu hadi nimekumbuka kisa kimoja kimetokea pale mwezi uliopita kuna mtoto wa jamaa yangu amepata ujauzito akiwa palepale ruvu na kujifungua akiwa palepale. Fikiria ni binti ambaye yupo jkt kufundisha uzalendo na maadili halafu badala ya kupewa malezi anapewa mimba na kuzalia kambini.Niliwahi kukutana nae pale Ruvu akiwa Mkuu wa pale na baadae Nyumbani kwake Kinyerezi
ni Askari Mzalendo sana na jasiri sana. siku hizi vizazi vinatoa chawa kwa matumizi ya baadae ya Nchi
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Uwe unanyamazaga basi kijana ndio uropoke vyote hivyo au dishi haligandishi?
Hakika usemalo ni kweli mkuu.. lolote hutokea..Once a General always a General.
Analipwa vizuri na ulinzi safi adi kifo ...
Atakosa tu zile pesa ambazo ni overheads kwenye miradi ya JKT.
Dunia Ina mengi anaweza kuingia new sheriff in town akampa ulaji mkubwa au cheo cha CDF kama umri na taratibu vikiruhusu.
All of these could happen just in a blink of an eye. Who thought JPM could have gone that soon?
Wewe kweli ni Mnyarwanda maana mnalandana kitabia.Friji yangu kamwe huwa haigandishi na hapo bado sijamtaja Demu wake Mmoja mzuri, mnene mwenye Msambwanda ( ila alishaungua tokea mwaka 2005 ) na sasa Wanashea huyo Demu na Mbunge Mmoja Machachari mno na mwenye Matusi ambaye ameishi sana Kawe na sasa ana Nyumba zake za Kupanga Kawe moja ikiwa iko nyuma ya Msikiti maarufu wa kwa Londa Jirani na Soko Jipya la Kawe.
Niendelee Mkuu au kwa sasa niishie tu hapa?
Umeizungumzia Ruvu hadi nimekumbuka kisa kimoja kimetokea pale mwezi uliopita kuna mtoto wa jamaa yangu amepata ujauzito akiwa palepale ruvu na kujifungua akiwa palepale. Fikiria ni binti ambaye yupo jkt kufundisha uzalendo na maadili halafu badala ya kupewa malezi anapewa mimba na kuzalia kambini.
Chakusikitisha viongozi wote wa kikosi hicho cha ruvu wapo wanadunda na kazi kama kawaida.
Sidhani kama angekuwepo JPM na Mbuge huyo mkuu wa kikosi na team yake wangekuwepo hapo.
Inasemekana pale ruvu ndipo wakubwa wa jkt wanapopitishia mafungu yao ndio maana
hii michezo ipogo tu , fatilia hata miradi ya sumailijakata.. sio kipindi kile au hiki.. ni 🤮🤮Mbuge aliwadhulumu sana wale vijana walikuwa wanajenga Chamwino wakati wa JPM. Kwenye posho ya Tsh 50,000 ya kila kijana kwa mwezi waliyokuwa wanapewa na Serikali alikuwa anachukua Tsh 10,000 yeye binafsi. Hakuogopa kwa kuwa Magufuli alikuwa mtu wake
Huyo kichwani ana ma jivi.Yaani we jamaa una gubu kweli, yaani hakuna yeyote unayemuongelea kwa mazuri na unajua tabia ya kila mtu hususani ile tabia yake mbaya hujawahi sema mazuri ya mtu wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nayeye alikuwa Chawa wa Mwendakuzimu tuNiliwahi kukutana nae pale Ruvu akiwa Mkuu wa pale na baadae Nyumbani kwake Kinyerezi
ni Askari Mzalendo sana na jasiri sana. siku hizi vizazi vinatoa chawa kwa matumizi ya baadae ya Nchi
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Gentamicine mbona unapenda kumtaja sana greatest of all time kwenye nyuzi zako, alishakukula nini akagoma kukulipa?Ukiona ulikuwa na Cheo Kikubwa Jeshini ( JWTZ ) na ghafla ukaondolewa na kupelekwa kuwa Mshauri wa Mgambo jua kuwa Kwanza Umedharauliwa na Pili hiyo ni Demotion ya Kukuumiza zaidi Kisaikolojia.
Hata classmate wangu Darasa la Masters SAUT Msimbazi Centre ( School of Graduate Studies ) Dar es Salaam 2015, Luteni Kanali Erick Komba aliyekuwa Msemaji wa Jeshi ( JWTZ ) nae aliondolewa Makao na kupelekwa huko Mgambo kuwa Mshauri.
Haters LIKUD, Greatest Of All Time na CAPO DELGADO mpo? Kudadadeki......!!
May be yupo chatoMwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?
Nadhani huyu ni mmoja wa wakulima na wafugaji wakubwa sana hapa Tanzania.Wanaofanya shughuli zao kisasa sana. na uwekezaji wake ni mkubwa sana kwenye kilimo huko kisarawe Pwani.Mwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?
Hivi jamaa ana kipi muhimu mpaka kuwa na cheo kikubwa hivyo akiwa kijana? Maana kama shule sidhani? Upande wa operation za kijeshi pia sidhani.Gaguti si alirudi headquarters? Yes alafu Gaguti bado kijana. Baada ya kuachwa urc nadhani alipanda cheo akawa meja jenerali.
Upo sahihi sana, hata Mimi niliwaza hvyoPengine Jiwe asingefariki, jamaa angekuwa CDF
Yule ni kijana?? Hii nyie mnamwangaliajeHivi jamaa ana kipi muhimu mpaka kuwa na cheo kikubwa hivyo akiwa kijana? Maana kama shule sidhani? Upande wa operation za kijeshi pia sidhani.
50Yrs kafika kwaniYule ni kijana?? Hii nyie mnamwangaliaje