katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
- Thread starter
-
- #21
Sikuwa nimetulia aisee kipindi hicho sitaki kikumbuka bado humu giza , visa , yaani acha tu maisha ndio yalikuwa hivyoo ila kwa sasa napata hiyo hiyo hiyoKwa Mara ya kwanza ninaelewa uzi wako tangunianze kusoma nyuzi na comment zako leo umeandika vizuri sana uko nyuma shida ilikuwa nini mpaka kushindwa kuandika vizuri?
Kwa hiyo ndiyo umeurithi uandishi wake wa zamani?Kwa Mara ya kwanza ninaelewa uzi wako tangunianze kusoma nyuzi na comment zako leo umeandika vizuri sana uko nyuma shida ilikuwa nini mpaka kushindwa kuandika vizuri?
Nimekupata vizuri sana samahani lakini kama utajali upo kwenye umri gani 20s, 30s au 40s?Sikuwa nimetulia aisee kipindi hicho sitaki kikumbuka bado humu giza , visa , yaani acha tu maisha ndio yalikuwa hivyoo ila kwa sasa napata hiyo hiyo hiyo
ππ unaonaje tukawa wapenzi ili unichangamshe mchumbaanguHuna jipya wewe kwanza umedodaa
Ndio yeye [emoji1787]KweLi yaaN ukiangaLia style zao unahisi kabsa n mtu mmoja anatuchezea akiLi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]
Hamna shida mama la mama ila uwe unasema mapema unajua mi nilikuwa katika process ya kuichombeza ile id yako ya Unique Flower kumbe ni weweNdio ni mtu mmoja kuna shida
Duu mkuu unapenda mtu kwa muandiko kweli moyo unamambo ya kifala sana [emoji3][emoji1787]Hamna shida mama la mama ila uwe unasema mapema unajua mi nilikuwa katika process ya kuichombeza ile id yako ya Unique Flower kumbe ni wewe
Huoni Unatuchanganya sasa basi nitaendelea kukuchombeza wewe
Si unajua mi napenda wanawake wa kimasai na kikenya wanawake wasiojua kiswahili vizuri ile accent yao inanidatisha
Daah we acha tu huu moyo huu haunitakii memaDuu mkuu unapenda mtu kwa muandiko kweli moyo unamambo ya kifala sana [emoji3][emoji1787]
Karibu sana mwaya ila ujue mimi nimeolewa kabisaHamna shida mama la mama ila uwe unasema mapema unajua mi nilikuwa katika process ya kuichombeza ile id yako ya Unique Flower kumbe ni wewe
Huoni Unatuchanganya sasa basi nitaendelea kukuchombeza wewe
Si unajua mi napenda wanawake wa kimasai na kikenya wanawake wasiojua kiswahili vizuri ile accent yao inanidatisha
Wewe mkubwa njoo moshono sai tukushambulie nipo na mkeo na hawara zakoUtoto raha sana
Kwani ukiolewa huwezi kuwa na mimi na mume wakoKaribu sana mwaya ila ujue mimi nimeolewa kabisa
Mwanaume mzima unajiita katoto kazuri! Pumbavu kabisaNimekumiss wangu sana zamani tulipokuwa tunaandikiana barua za upendo kama hizi,
Uhali gani mpenzi ,
Tokea mchana sijakuona ,
Umeshindaje,,,,, wangu .
Moyo wangu ulikuwa mzigo na wasiwasi wangu ni hadi nikuone wewe,moyo wangu ni mwepesi pale nilipokuona wewe , mzigo uliokuwa moyoni umeutua baada ya kusikia sauti yako .
Busu lako ndio faraja yangu, ukinikumbatia mwili wangu huchangamka na kuwa maridadi shuleni nafurahia masomo na mara ingine nakutaja wewe.
Je wakumbuka nilivyoadhibiwa kisa wewe??
Je unakumbuka nilikubali adhabu ya kuchimba kisiki kisa mwalimu alifuma barua yetu.
Katoto kazuri nakupenda sana natamani uwe mke wangu ukubwani.
Nishirikiane nawewe kulea watoto wetu kwa furaha .
Una Macho ya kurembua na kudunduliza mpenzi wewe unanipaga raha sana napagawa.
Marashi yako yananifanya niote niko bustanini nawewe tukisikia harufu za maua mbalimbali yaliyomo bustanini.
Cheko lako lanipa raha pale nisikiapo lanifariji kiasi cha mimi kuendelea kusikia sauti yako.
Kwani sauti yako ni nyoronyoro na humtoa nyoka pangoni.
Katoto kazuri nakupenda sana.....
I love u chukua ua hilo ndani ya hii barua kila unusapo ujue nakupenda .
Je yako ilikuwaje??
Tuambie kwa maana nimemmis sana huyu kaka aisee alikuwa one of the kind .......ππππππ€©π€© Musah
Dedication hii kwake jamani
Njoo mwaya nikukule basi japo kimoja njoo mwanamke wa mtu .Mwanaume mzima unajiita katoto kazuri! Pumbavu kabisa
Hapana nafasi yako ishachukuliwa na shemeji yake mume wanguKwani ukiolewa huwezi kuwa na mimi na mume wako
Ila mi Sina wivu
Leo kanyooka sana dish limekaa sawa[emoji38]Yaan ww na my name is my name naona mnafanana saNa sjui n ndugu nyny leo umejitahidi kuandika kitu kikaeleweka
Kumbe ni dume? Daaah hakika dunia imevaa bukta [emoji15][emoji16]Mwanaume mzima unajiita katoto kazuri! Pumbavu kabisa
Amemuonea bure huyu ni binti mdogo tuKumbe ni dume? Daaah hakika dunia imevaa bukta [emoji15][emoji16]
Mi niweke hivyo hivyo hata kwapani kama kwenye moyo yupo mumeoHapana nafasi yako ishachukuliwa na shemeji yake mume wangu