- Thread starter
- #21
Hizo stori zipo kila sehem hata kifo cha Michel JacksonHawezi kukisoma huyu. Watu kama hawa hupenda story za Kanumba alifariki kisa Freemason, mfano ukileta taarifa ya daktari au forensics ikisema alisukumwa akaanguka akavuja damu kwenye ubongo akazimia na kufariki wanaiacha ikiwa na evidence zote za polisi, daktari na mahakama ila wanakubali story ya Freemason inayotungwa na jamaa aliyeishia la saba amevaa kanzu ametoa nakala za CD anauza. Humo wametajwa Jay Z, Papa, Obama na Kikwete eti ni wanachama.
Hawa level zao ni Story book kile kipindi cha Clouds sijui Wasafi, sio vitabu. Kuna maneno mtu akisema unaona huwa anapenda simulizi za aina gani
Sawa lakin behind Hitler alikuwa anachukua malighaf za Africa kuimarisha uchumi wa german naalichota matan kwa matan ya dhabu na kila malighaf ndomaana aliweza kulipa jeshi lake kubwa ajabu vzr ..kwan hujawah skia kuna mji hitler aliujenga in east afrika akautowesha ukabaki kama image nationBibi yenu hawezi jua lolote juu ya Nazi Germany wala Hitler. Si ajabu hata maneno"ich liebe dich" haelewi ni nini. Story yake ya kutunga, naye ukute kahadithiwa.
Hitler kwenye Mein Kampf kaandika historia yake kiasi, uzuri secretary wake aliishi muda mrefu sana baada ya vita kwahiyo memoirs na mahojiano mengi alishiriki. Tazama movie ya Downfall ambayo ni historically correct utapata chochote kitu kuhusu private secretary wake. Hitler didn't give a fu.ck about Africa sijui Tanganyika. Katika races alipanga rank kuanzia Aryans aliosema ni pure, then wazungu wengine, then Warusi na akaspecify Wayahudi waangamizwe kabisa. Waafrika ni kama hakuwatambua isipokuwa alilazimika kuiteka Egypt kuzuia meli za mafuta na replenishments zisipite Suez canal kwenda kwa Allies. Aliposhindwa Egypt akasogea Libya na Tunisia ndipo Field Marshall Erwin Rommel "Desert Fox" akiongoza Afrika Korps alikosa supplies akashindwa.
Watu ni PhD holders na maprofesa wameandika vitabu ila wewe unachagua kumsikiliza bibi