Nimemkumbuka sana IGP Sirro, yupo kimya toka tamko la Marekani juu ya Makonda. Kulikoni?

Anatweta hofu imemkumba. Kuna tetesi kuwa huenda akahamia Dodoma na nafasi yake ikashikwa na mzanzibari mmoja hivi.
 
Ndio maana anataka kumrudisha yule katibu tawala wa Tabora TISS ili Diwani Athumani apelekwe kuwa IGP yaani wakurugenzi wakuu wa idara ya usalama wa taifa 3 ndani ya miaka 4 kuna kitu hakipo sawa kabisa.
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika zinasema Ciro alitakiwa kuwa DigTiss na Yule bwana aliyejiuzulu juzi akapewa ubalozi kwenye sakata la Kange alitakiwa kuwa CDF. Lakini kutokana na kutoiva na Baba w familia ilibidi amuweke mutu anayemuweza mzee wa kabila.moja na baba. Sintofahamu ni nyingi ndani ya vyombo hivi vya kulia wali wa usalama.
 
Jamaa amekuwa balozi wa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namfahamu vizuri Siro tangu tukiwa Sekondari mpaka chuo kikuu. Kwanza yupo vizuri kichwani. Pili ni mtu mwenye hekima na muungwana.

Siro ni mtu sahihi sana kwa nafasi hiyo lakini kwenye utawala wenye maono na hekima. Kwenye utawala huu atakuwa anapata shida sana. Ni misfit.
 
Ameneswa kwenye mawasilano yanayonyanganya watu haki ya kuishi. Nimeota
 
Mimi huwa namuelewa sana siro ila nikikumbuka ile picha ya cctv camera...mmh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pompeo asitubabaishe Marekani imeua watu wengi sana hata majuzi wameua Khassim Souleiman bila kosa lolote
 
Pompeo asitubabaishe Marekani imeua watu wengi sana hata majuzi wameua Khassim Souleiman bila kosa lolote
Ungeishia tu kusema kuwa wamemwua Khassim lakini usiseme bila sababu yoyote. Nadhani walieleza sababu. Labda ungesema hukubaliani na sababu waliyoitoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…