Nimemkumbuka sana IGP Sirro, yupo kimya toka tamko la Marekani juu ya Makonda. Kulikoni?

Aisee kama tulikuwa woote kimawazo
Anajitahidi kweli kweli sema yule akipewa ataharibu jeshi la polisi bora apewe msangi yule zanzibar au muruto wa dodoma

In God we Trust
 
Diwani Athuman anabembelezwa ili awe IGP , zipo tetesi kwamba Sirro kaandika zaidi ya barua 10 za kuomba kujiuzulu
 
Kigogo2014 amesema kwamba Sirro aliandika barua ya kustaafu/kujiuzulu/kuachia ngazi mara mbili lakini "MEKO" anachomoa.
 
Hi hi hi hi mbona tayari yupo kwenye orodha.

Marekani wanajua kila kitu ambacho Makonda na genge lake wanafanya hapa nchini na ndio kisa cha kumpa ban ya kutokanyaga U.S!! Kamanda SIRRO ameingia kwenye radar ya marekani kwa sababu ya mauaji yaliyofanyika kule KIBITI Rufiji ; mpaka yakapelekea kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda kupotea!!! Kukaa kwake kimya ni strategic ili akistaafu waweze kusahau makando kando yake!
 
Mkuu umezipata wapi hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bahati nzuri wanajua hili. Yaani kuna CIA ofisa ambaye yupo Tanzania na anajua kila deal pale bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…