Ninamkumbuka sn huyu mchezaj wa zaman wa simba anbaye kwa sasa ni marehemu"mwenyez mungu naomba umrehemu huko aliko na apumzike kwa aman Amen.My take ni kwamba kwa siku za hv karibun nimekuwa nikumkumbuka sn huyu mchezaj.Mimi sio mpenz wa simba hata kidogo mimi ni yanga wa kutupwa but nimekuwa nafuatiria sn michezo hasa mpira wa miguu na nimekuwa nikiappreciate baadhi ya mambo ambayo hata km siipend timu usika.Ni mchezaj aliyekuwa imara sn na muhimili mkubwa kwa klabu ya simba,alikuwa ana offer vtu hadimu sn na nadiriki kusema mpaka sasa hakuna kiungo wa aina yake!Niache mambo yake nje ya uwanja na niombe wachangiaj msiguse kabisa huko kwan yeye hayupo so kibinaadam sio vzr hata kidogo.Alionekana si kitu pale azam but akaja kuwa lulu pale msimbaz na hii ni kwa faida ya simba pekee hivi pengo la R I P mafisango,k yondani, m samata na e okwi YAMEZIBWA NA KINA NANI????Nirud kwenye topic p mafisango ni kiungo aliyeweza kuoffer kile ambacho timu inahitaj kwa wakat huo so alikuwa msaada usio na kifan kwa klabu yake ya simba.Nilikuwa navutiwa sana na movement zake uwanjan kwan alikuwa anajua afanye nn na awe wapi km ana mpira au hana mpira.He's one of my best ever midfielder of my time in tz.SORY KWA NITAKAOWAKUMBUSHA MACHUNGU,R I P 'P M MAFISANGO'