Nimemkumbuka sana marehemu Patrick Mutesa Mafisango

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
2,902
Reaction score
1,875
Ninamkumbuka sn huyu mchezaj wa zaman wa simba anbaye kwa sasa ni marehemu"mwenyez mungu naomba umrehemu huko aliko na apumzike kwa aman Amen.My take ni kwamba kwa siku za hv karibun nimekuwa nikumkumbuka sn huyu mchezaj.Mimi sio mpenz wa simba hata kidogo mimi ni yanga wa kutupwa but nimekuwa nafuatiria sn michezo hasa mpira wa miguu na nimekuwa nikiappreciate baadhi ya mambo ambayo hata km siipend timu usika.Ni mchezaj aliyekuwa imara sn na muhimili mkubwa kwa klabu ya simba,alikuwa ana offer vtu hadimu sn na nadiriki kusema mpaka sasa hakuna kiungo wa aina yake!Niache mambo yake nje ya uwanja na niombe wachangiaj msiguse kabisa huko kwan yeye hayupo so kibinaadam sio vzr hata kidogo.Alionekana si kitu pale azam but akaja kuwa lulu pale msimbaz na hii ni kwa faida ya simba pekee hivi pengo la R I P mafisango,k yondani, m samata na e okwi YAMEZIBWA NA KINA NANI????Nirud kwenye topic p mafisango ni kiungo aliyeweza kuoffer kile ambacho timu inahitaj kwa wakat huo so alikuwa msaada usio na kifan kwa klabu yake ya simba.Nilikuwa navutiwa sana na movement zake uwanjan kwan alikuwa anajua afanye nn na awe wapi km ana mpira au hana mpira.He's one of my best ever midfielder of my time in tz.SORY KWA NITAKAOWAKUMBUSHA MACHUNGU,R I P 'P M MAFISANGO'
 
Hakika. Uwiano wake wa kutengeneza mashambulizi na kuzuia ilikuwa kama 50/50! Kiufundi alikuwa mzuri sana na kuwa sababu kubwa ya kuleta matokeo mazuri. Viungo wengi wanaochipukia kama Domayo, Mkude, n.k wanahitaji kuiga mengi kutoka kwa gwiji huyu wa midfield kucheza mpira wa matokeo
 
Mkuu naona umeamua kutukumbusha machungu tu, ukizingatia tulipoteza jembe, halafu timu nayo ikaanza kumbwembwela, yaani huzuni mara mbili. RIP JEMBE LETU PATRICK MUTESA MAFISANGO.
 
Ninamkumbuka sn huyu mchezaj wa zaman wa simba anbaye kwa sasa ni marehemu"mwenyez mungu naomba umrehemu huko aliko na apumzike kwa aman Amen.My take ni kwamba kwa siku za hv karibun nimekuwa nikumkumbuka sn huyu mchezaj.Mimi sio mpenz wa simba hata kidogo mimi ni yanga wa kutupwa but nimekuwa nafuatiria sn michezo hasa mpira wa miguu na nimekuwa nikiappreciate baadhi ya mambo ambayo hata km siipend timu usika.Ni mchezaj aliyekuwa imara sn na muhimili mkubwa kwa klabu ya simba,alikuwa ana offer vtu hadimu sn na nadiriki kusema mpaka sasa hakuna kiungo wa aina yake!Niache mambo yake nje ya uwanja na niombe wachangiaj msiguse kabisa huko kwan yeye hayupo so kibinaadam sio vzr hata kidogo.Alionekana si kitu pale azam but akaja kuwa lulu pale msimbaz na hii ni kwa faida ya simba pekee hivi pengo la R I P mafisango,k yondani, m samata na e okwi YAMEZIBWA NA KINA NANI????Nirud kwenye topic p mafisango ni kiungo aliyeweza kuoffer kile ambacho timu inahitaj kwa wakat huo so alikuwa msaada usio na kifan kwa klabu yake ya simba.Nilikuwa navutiwa sana na movement zake uwanjan kwan alikuwa anajua afanye nn na awe wapi km ana mpira au hana mpira.He's one of my best ever midfielder of my time in tz.SORY KWA NITAKAOWAKUMBUSHA MACHUNGU,R I P 'P M MAFISANGO'

Mkuu Unaniliza Mkuu Na Unanifanya Sasa Nimkumbuke Patrick Tabu Petit Mutesa Mafisango. Huyu Jamaa Alikuwa Anaitendea Sana Kiungo Ya Chini Hapa Na Kinachotukumbusha Sana Ni Ile Tabia Yake Ya Kuchezesha Timu Huku Akikaba Kisawasawa Na Alipokuwa Anatufurahisha Wanasimba Na Wana Yanga Wachache Wenye AKILI TIMAMU Ni Kile Kitendo Chake Cha Pindi Anapoona Timu Haijashinda Na Washambuliaji Hawafungi Alikuwa Anakwenda Mwenyewe Mbele Na Kufunga Magoli Na Kurudi Kukaba Kama Kawaida. Kipaji Kingine Alichokuwa Nacho Ni Uwezo Wa Kuwa Kiongozi ( Baba Mwenye Nyumba au Commander In Chief ) Wa Wachezaji Wenzake Wote Na Huwezi Amini Japo Kipindi Kile Nahodha Wa Simba Alikuwa Ni Golikipa Wetu Juma Kaseja Juma a.k.a Chloroquine Lakini Wachezaji Karibia Wote Wa Simba Na Hadi Juma Mwenyewe Walikuwa Wanamsikiliza Sana Uwanjani Na Hata Mazoezini Marehemu Na Walimkubali Sana Tu. Nakumbuka Mara Baada Ya Timu Kurudi Kutoka Algeria Kucheza Na Seitif Marehemu Aliwaambia Viongozi Wa Simba Kuwa Nanukuu " MTUNZENI SANA HUYU DOGO Jonas Gerald Mkude KWANI ANA KARIBIA KILA KITU AMBACHO MCHEZAJI WA MPIRA ANATAKIWA AWE NACHO ", Mwisho Wa Kumnukuu Lakini Sasa Cha Kushangaza Na Muone Kuwa Michezaji Yetu Kweli Ni MIPOPOMA Huyo Mkude Aliyesifiwa Na Kupigiwa Chapuo Sasa Utadhani Yeye Ndiyo Tester Wa Pombe Za Mchikichini Kwa Jinsi ANAVYOZINYWA Hadi Kulala Bar Usiku Wa Manane Na Kuwasumbua Akina Singano Messi Na Idrisa Rashid Baba Ubaya Wakamnyanyue Kumrudisha Kwake. Mchezaji Ambae Kama Wenzake Wataacha Kumpiga Miba Anaweza Kuwa Mrithi Mzuri Na Sawia Wa Marehemu Ni Abdi Banda Pekee Ila Na Yeye Anahitaji Kuongezewa Vitu Fulani Fulani. RIP Mafisango Binafsi Nitakukumbuka Kwa Mengi Ya Nje Ya Uwanja!
 
Mkuu Unaniliza Mkuu Na Unanifanya Sasa Nimkumbuke Patrick Tabu Petit Mutesa Mafisango. Huyu Jamaa Alikuwa Anaitendea Sana Kiungo Ya Chini Hapa Na Kinachotukumbusha Sana Ni Ile Tabia Yake Ya Kuchezesha Timu Huku Akikaba Kisawasawa Na Alipokuwa Anatufurahisha Wanasimba Na Wana Yanga Wachache Wenye AKILI TIMAMU Ni Kile Kitendo Chake Cha Pindi Anapoona Timu Haijashinda Na Washambuliaji Hawafungi Alikuwa Anakwenda Mwenyewe Mbele Na Kufunga Magoli Na Kurudi Kukaba Kama Kawaida. Kipaji Kingine Alichokuwa Nacho Ni Uwezo Wa Kuwa Kiongozi ( Baba Mwenye Nyumba au Commander In Chief ) Wa Wachezaji Wenzake Wote Na Huwezi Amini Japo Kipindi Kile Nahodha Wa Simba Alikuwa Ni Golikipa Wetu Juma Kaseja Juma a.k.a Chloroquine Lakini Wachezaji Karibia Wote Wa Simba Na Hadi Juma Mwenyewe Walikuwa Wanamsikiliza Sana Uwanjani Na Hata Mazoezini Marehemu Na Walimkubali Sana Tu. Nakumbuka Mara Baada Ya Timu Kurudi Kutoka Algeria Kucheza Na Seitif Marehemu Aliwaambia Viongozi Wa Simba Kuwa Nanukuu " MTUNZENI SANA HUYU DOGO Jonas Gerald Mkude KWANI ANA KARIBIA KILA KITU AMBACHO MCHEZAJI WA MPIRA ANATAKIWA AWE NACHO ", Mwisho Wa Kumnukuu Lakini Sasa Cha Kushangaza Na Muone Kuwa Michezaji Yetu Kweli Ni MIPOPOMA Huyo Mkude Aliyesifiwa Na Kupigiwa Chapua Sasa Utadhani Yeye Ndiyo Tester Wa Pombe Za Mchikichini Kwa Jinsi ANAVYOZINYWA Hadi Kulala Bar Usiku Wa Manane Na Kuwasumbua Akina Singano Messi Na Idrisa Rashid Baba Ubaya Wakamnyanyue Kumrudisha Kwake. Mchezaji Ambae Kama Wenzake Wataacha Kumpiga Miba Anaweza Kuwa Mrithi Mzuri Na Sawia Wa Marehemu Ni Abdi Banda Pekee Ila Na Yeye Anahitaji Kuongezewa Vitu Fulani Fulani. RIP Mafisango Binafsi Nitakukumbuka Kwa Mengi Ya Nje Ya Uwanja!

Hahahahahahaa! Dah, nimecheka sana Wallah!
 
Kimekuchekesha Nini Laaziz Wangu Wakati Wenzako Tumehuzunika Kumpoteza Mafisango?

Khaaaa! GENTAMYCINE nawe? Acha hizo bwana usinivunjie ndoa yangu bure!
Well....nimejikuta nacheka tu kutokana na uandishi wako na hasa pale uliposema Mkude utadhani ndiye TESTER wa pombe za mchikichini!
 
Last edited by a moderator:
Mwanga wa milele umuangazie ee bwana....R I P P M MAFISANGO.
 
hivi tangu kijana wa watu afariki simba ishatwaa ubingwa kweki au ndio kalaana ka kudhurumu pesa Za rambirambi Za kijana wa watu
 
Khaaaa! GENTAMYCINE nawe? Acha hizo bwana usinivunjie ndoa yangu bure!
Well....nimejikuta nacheka tu kutokana na uandishi wako na hasa pale uliposema Mkude utadhani ndiye TESTER wa pombe za mchikichini!

Ina Mumeo Naye Yupo Humu? Dada Yangu Una Moyo! Samahani Nimechelewa Kujibu Kwani Nilipotelea Kidogo Maporini Burundi.
 
Yeah, yupo humuhumu.Unataka kumjua? Lol.
Kwanini umesema nina moyo?
Hahahahaaa huko maporini ulikua unafanya nini? Au na wewe ni muasi?
 
moja kati ya ma midfield walionivutia wawapo uwanjani ni huyu jamaa..dimba alikuwa analijua kweli na ni mchezaji aliyekuwa anajua majukumu yake awapo uwanjani ipasavyo, japo Kuna mtu anaitwa niyonzima daah ni kama ananikonvisi kuwa midfield wangu bora kwa sasa..R.I.P Mafisango P. M.
 
Hivi nilisikia niyonzima alikuwa anataka kuishi na yule mtoto wake iliishiaga wapi hii.....
 
Back
Top Bottom