Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mafisango rest in eternal peace
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu natumaini utakua unameza matapishi yako kwa sasahivi tangu kijana wa watu afariki simba ishatwaa ubingwa kweki au ndio kalaana ka kudhurumu pesa Za rambirambi Za kijana wa watu
Comment yako kwa Mkude bado haijabadilika?Mkuu Unaniliza Mkuu Na Unanifanya Sasa Nimkumbuke Patrick Tabu Petit Mutesa Mafisango. Huyu Jamaa Alikuwa Anaitendea Sana Kiungo Ya Chini Hapa Na Kinachotukumbusha Sana Ni Ile Tabia Yake Ya Kuchezesha Timu Huku Akikaba Kisawasawa Na Alipokuwa Anatufurahisha Wanasimba Na Wana Yanga Wachache Wenye AKILI TIMAMU Ni Kile Kitendo Chake Cha Pindi Anapoona Timu Haijashinda Na Washambuliaji Hawafungi Alikuwa Anakwenda Mwenyewe Mbele Na Kufunga Magoli Na Kurudi Kukaba Kama Kawaida. Kipaji Kingine Alichokuwa Nacho Ni Uwezo Wa Kuwa Kiongozi ( Baba Mwenye Nyumba au Commander In Chief ) Wa Wachezaji Wenzake Wote Na Huwezi Amini Japo Kipindi Kile Nahodha Wa Simba Alikuwa Ni Golikipa Wetu Juma Kaseja Juma a.k.a Chloroquine Lakini Wachezaji Karibia Wote Wa Simba Na Hadi Juma Mwenyewe Walikuwa Wanamsikiliza Sana Uwanjani Na Hata Mazoezini Marehemu Na Walimkubali Sana Tu. Nakumbuka Mara Baada Ya Timu Kurudi Kutoka Algeria Kucheza Na Seitif Marehemu Aliwaambia Viongozi Wa Simba Kuwa Nanukuu " MTUNZENI SANA HUYU DOGO Jonas Gerald Mkude KWANI ANA KARIBIA KILA KITU AMBACHO MCHEZAJI WA MPIRA ANATAKIWA AWE NACHO ", Mwisho Wa Kumnukuu Lakini Sasa Cha Kushangaza Na Muone Kuwa Michezaji Yetu Kweli Ni MIPOPOMA Huyo Mkude Aliyesifiwa Na Kupigiwa Chapuo Sasa Utadhani Yeye Ndiyo Tester Wa Pombe Za Mchikichini Kwa Jinsi ANAVYOZINYWA Hadi Kulala Bar Usiku Wa Manane Na Kuwasumbua Akina Singano Messi Na Idrisa Rashid Baba Ubaya Wakamnyanyue Kumrudisha Kwake. Mchezaji Ambae Kama Wenzake Wataacha Kumpiga Miba Anaweza Kuwa Mrithi Mzuri Na Sawia Wa Marehemu Ni Abdi Banda Pekee Ila Na Yeye Anahitaji Kuongezewa Vitu Fulani Fulani. RIP Mafisango Binafsi Nitakukumbuka Kwa Mengi Ya Nje Ya Uwanja!
Timu ilianza kumbwembwela kwa sababu ya laana ya michango ya rambirambi watu walipiga 😂😂Mkuu naona umeamua kutukumbusha machungu tu, ukizingatia tulipoteza jembe, halafu timu nayo ikaanza kumbwembwela, yaani huzuni mara mbili. RIP JEMBE LETU PATRICK MUTESA MAFISANGO.
Duh! Kweli una tatizo kubwa zaidi ya wajuavyoIbadilike ifanane na ' Utahaira ' wako unaokusumbua au?
Huyo ni Zamwamwa wa kienyejiDuh! Kweli una tatizo kubwa zaidi ya wajuavyo