Nimemkumbuka sana RC John Mhaville wa Dar es Salaam wakati tukiwa vijana, alikuwa hana mizaha awapo kazini au nyumbani

Dogo Makonda kachemka sana jana. Corona sio ugonjwa wa kuuletea siasa za vyama, ni ugonjwa unaoua watu wengi kwa wakati mmoja.

Kuanza kumuongelea Mbowe huku ukiwa umekusanyisha watu wengi ni kutokuelewa ukubwa wa Corona, ni kuishi kwa mazoea ya miaka yote.

Afrika imekuwa na bahati haijakumbwa na mlipuko kama kule Iran au Italy, vinginevyo kwa akili kama hizi za Bwana Mdogo tungekuwa tunapukutika vibaya mno.
 
Umenena vema sana mkuu!
 
Bukililo leo nawe naona umeguswa na maovu
Dogo Makonda kachemka sana jana. Corona sio ugonjwa wa kuuletea siasa za vyama, ni ugonjwa unaoua watu wengi kwa wakati mmoja.

Kuanza kumuongelea Mbowe huku ukiwa umekusanyisha watu wengi ni kutokuelewa ukubwa wa Corona, ni kuishi kwa mazoea ya miaka yote.

Afrika imekuwa na bahati haijakumbwa na mlipuko kama kule Iran au Italy, vinginevyo kwa akili kama hizi za Bwana Mdogo tungekuwa tunapukutika vibaya mno.

In God we Trust
 
Nadhani wakati wa RC Mhaville jijini Dsm mwanajf Pascal Mayalla ulikuwa tayari umeajiriwa RTD na kamanda Mrangi mzee wa Ova ulikuwa unauza Raba za mitumba tukiziita Raba mtoni enzi zile.

Kwa kweli sipati picha kama mzee Mhaville angekuwa ndiye RC wa Dsm nyakati hizi za Corona.
Mzee Mhaville alilimudu jiji aiseee!

Maendeleo hayana vyama!
Utakuwa humjui vzr mzee yusuph makamba wewe, naongelea makamba wa enzi zile kabla hajawa katibu mkuu wa chama cha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kutuaminisha kuwa kuuza mitumba ni dhambi au siyo kazi ya kumuingizia mtu kipato halali?

In God we Trust
Hapana bwashee....... mbona mchungaji Msigwa alikuwa muuza mitumba maarufu pale Miyomboni Iringa mjini na sasa ni mbunge wa eneo hilo hilo!
 
Kuuza mitumba siyo kosa la jinai, muulize mbunge wako wa makambako atakwambia ukweli
Hapana bwashee....... mbona mchungaji Msigwa alikuwa muuza mitumba maarufu pale Miyomboni Iringa mjini na sasa ni mbunge wa eneo hilo hilo!

In God we Trust
 
Utakuwa humjui vzr mzee yusuph makamba wewe, naongelea makamba wa enzi zile kabla hajawa katibu mkuu wa chama cha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Makamba alishindwa kuwahamisha wakazi wa mabondeni pale Mkwajuni baada ya kutunishiwa msuli na mganga wa kienyeji, ilibidi alikimbie jiji kwa muda.

Sema tu mwanae January ndio kaja kuikamilisha ile kazi baada ya miaka 15!
 
Kuuza mitumba siyo kosa la jinai, muulize mbunge wako wa makambako atakwambia ukweli

In God we Trust
Jah people hajauza mitumba alikuwa mpiga debe wa mabasi ya mjomba wake mzee Yohana Sanga yaliyokuwa yanaitwa Makete bus Services.

Sema naye alijiongeza akagombea udiwani akashinda baada ya kumgaragaza mtoto wa shehe ndugu Mashaka Tagalile.

Cha kufurahisha Jah people hajawahi kuingia darasani na Tagalile alikuwa na ADCA ya IDM Mzumbe by then lakini aligaragazwa na ngumbaro!
 
Nimekupa mfano wa viongozi wetu wanatokea wapi! Hivyo basi kuuza mitumba ni miawapo tu ya njia za kujiingizia kipato.
Jah people hajauza mitumba alikuwa mpiga debe wa mabasi ya mjomba wake mzee Yohana Sanga yaliyokuwa yanaitwa Makete bus Services.

Sema naye alijiongeza akagombea udiwani akashinda baada ya kumgaragaza mtoto wa shehe ndugu Mashaka Tagalile.

Cha kufurahisha Jah people hajawahi kuingia darasani na Tagalile alikuwa na ADCA ya IDM Mzumbe by then lakini aligaragazwa na ngumbaro!

In God we Trust
 
Unalinganisha enzi za ujima na za kidigitali,wewe bwege kweli

Back
Top Bottom