Ndiye mwanaume wake wa kwanza hawezi kumsahauNaingia chimbo rasmi nijue Mbowe alikutenda nini. Ni nadra sana kuandika mistari mitatu bila kumtaja Kamanda Mbowe. Ungemtaja Mungu kama unavyomtaja Mbowe pepo ungeenda bila mawaa.
Hongera sana Magonjwa Mtambuka (JF COVID -19) leo umeandika coment bila kuitaja Chadema au Mbowe. Kudos!!kumbe ukijitahidi unawezaDuh, kumbe kamanda mrangi (mzee wa Ova) alishagawahi kuuza raba za mitumba?
Yaani wewe!!! Haya bwana, ila siwezi kuamua ngumi mimi.Ndiye mwanaume wake wa kwanza hawezi kumsahau
😂😂😂😂Yaani wewe!!! Haya bwana, ila siwezi kuamua ngumi mimi.
Duh Mkuu unanikumbusha mbali. Dr. Bashiru was right, baadhi ya viongozi vijana wanahitaji kupingwa msasa. Kuna seriousness fulani inahitajika kwa hawa madogo, sio kila kitu ni kusaka kiki tuu!.
P
Wakati huo wewe ulikuwa Useri village!Hivi wewe jamaa huwaga unawaza nini hadi unaadika kila kukicha mambo ya ajabu ajabu?
In God we Trust
Umenena vema sana mkuu!Dogo Makonda kachemka sana jana. Corona sio ugonjwa wa kuuletea siasa za vyama, ni ugonjwa unaoua watu wengi kwa wakati mmoja.
Kuanza kumuongelea Mbowe huku ukiwa umekusanyisha watu wengi ni kutokuelewa ukubwa wa Corona, ni kuishi kwa mazoea ya miaka yote.
Afrika imekuwa na bahati haijakumbwa na mlipuko kama kule Iran au Italy, vinginevyo kwa akili kama hizi za Bwana Mdogo tungekuwa tunapukutika vibaya mno.
Umenena vema sana mkuu!
Dogo Makonda kachemka sana jana. Corona sio ugonjwa wa kuuletea siasa za vyama, ni ugonjwa unaoua watu wengi kwa wakati mmoja.
Kuanza kumuongelea Mbowe huku ukiwa umekusanyisha watu wengi ni kutokuelewa ukubwa wa Corona, ni kuishi kwa mazoea ya miaka yote.
Afrika imekuwa na bahati haijakumbwa na mlipuko kama kule Iran au Italy, vinginevyo kwa akili kama hizi za Bwana Mdogo tungekuwa tunapukutika vibaya mno.
Utakuwa humjui vzr mzee yusuph makamba wewe, naongelea makamba wa enzi zile kabla hajawa katibu mkuu wa chama cha.....Nadhani wakati wa RC Mhaville jijini Dsm mwanajf Pascal Mayalla ulikuwa tayari umeajiriwa RTD na kamanda Mrangi mzee wa Ova ulikuwa unauza Raba za mitumba tukiziita Raba mtoni enzi zile.
Kwa kweli sipati picha kama mzee Mhaville angekuwa ndiye RC wa Dsm nyakati hizi za Corona.
Mzee Mhaville alilimudu jiji aiseee!
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... sana tu mteja wake mkubwa alikuwa Kasesela wa Iringa!
Hapana bwashee....... mbona mchungaji Msigwa alikuwa muuza mitumba maarufu pale Miyomboni Iringa mjini na sasa ni mbunge wa eneo hilo hilo!Unataka kutuaminisha kuwa kuuza mitumba ni dhambi au siyo kazi ya kumuingizia mtu kipato halali?
In God we Trust
Hapana bwashee....... mbona mchungaji Msigwa alikuwa muuza mitumba maarufu pale Miyomboni Iringa mjini na sasa ni mbunge wa eneo hilo hilo!
Mzee Makamba alishindwa kuwahamisha wakazi wa mabondeni pale Mkwajuni baada ya kutunishiwa msuli na mganga wa kienyeji, ilibidi alikimbie jiji kwa muda.Utakuwa humjui vzr mzee yusuph makamba wewe, naongelea makamba wa enzi zile kabla hajawa katibu mkuu wa chama cha.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Jah people hajauza mitumba alikuwa mpiga debe wa mabasi ya mjomba wake mzee Yohana Sanga yaliyokuwa yanaitwa Makete bus Services.Kuuza mitumba siyo kosa la jinai, muulize mbunge wako wa makambako atakwambia ukweli
In God we Trust
Jah people hajauza mitumba alikuwa mpiga debe wa mabasi ya mjomba wake mzee Yohana Sanga yaliyokuwa yanaitwa Makete bus Services.
Sema naye alijiongeza akagombea udiwani akashinda baada ya kumgaragaza mtoto wa shehe ndugu Mashaka Tagalile.
Cha kufurahisha Jah people hajawahi kuingia darasani na Tagalile alikuwa na ADCA ya IDM Mzumbe by then lakini aligaragazwa na ngumbaro!
Nadhani wakati wa RC Mhaville jijini Dsm mwanajf Pascal Mayalla ulikuwa tayari umeajiriwa RTD na kamanda Mrangi mzee wa Ova ulikuwa unauza Raba za mitumba tukiziita Raba mtoni enzi zile.
Kwa kweli sipati picha kama mzee Mhaville angekuwa ndiye RC wa Dsm nyakati hizi za Corona.
Mzee Mhaville alilimudu jiji aiseee!
Maendeleo hayana vyama!
Bwege baba mwananyaso!Unalinganisha enzi za ujima na za kidigitali,wewe bwege kweli
Dogo anachemka sana.Bukililo leo nawe naona umeguswa na maovu
In God we Trust