Sahir Punzy
Member
- Jan 13, 2015
- 86
- 55
Labda ataje mwenyewe, mimi simjui.Sio barbarosa kweli.
Ngoja niungane na weweSimjui
Vipi mkuu, umeiokata na hujui kuitmia?Mwanzoni kabisa nafungua akaunti hapa jf niliwahi kuona signature ya member fulani hivi lakini mpaka leo sikumkariri sasa kama kuna member humu anamfahamu anitajie jina lakge
''ukiokota bunduki usiitupe itumie'' sina uhakika kama aliandika hivi ila yanafanana na haya.
Nipo seriousVipi mkuu, umeiokata na hujui kuitmia?