Nimemkumbuka yule member mwenye signature hii...

Sahir Punzy

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
86
Reaction score
55
Mwanzoni kabisa nafungua akaunti hapa jf niliwahi kuona signature ya member fulani hivi lakini mpaka leo sikumkariri sasa kama kuna member humu anamfahamu anitajie jina lakge

''ukiokota bunduki usiitupe itumie'' sina uhakika kama aliandika hivi ila yanafanana na haya.
 
Vipi mkuu, umeiokata na hujui kuitmia?
 
Hahaaa nacheka kwa dharauuuu

''ukiokota bunduki usiitupe itumie''
 
Back
Top Bottom