Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mshauri wifi yako.mimi nlisha muomba msamaha na kutulia kabisa.lakini yeye muongo,dharau,kiburi na kila baya analo yeye.nmechoka.sasa hivi hata mtaani haonekani wala simu hapokei.huyu kweli ana pepo la ngono.mia
Kwa nini wewe hujaenda kumtuza ndiyo awe na uhakika kwamba umemuona??
nawasiwasi na wewe,jamaa anaomba ushauri tena mnamdis?
Usiwe na waswas, huo tunaompa ni ushauri tosha, akili mu kichwa!
kama mlikutana club mkatongozana, no comments.
Pole sana lakini ebu nikulize swali lakizushi ,ww umesema umemdanganya mchuchu wako kua unaumwa,ulijuaje kama yuko hapo Maisha au ww mgonjwa ulienda kufata nn?inaonyesha wazi kua nyote kunguru na hakuna mkweli kati yenu..
mwambie tu ukweli, mwambie ulimuona mwenyewe na mwambie uliona nini na nini, mwambie unavo jiskia kuhusu hili alafu akikubali alikuwepo ndio muanza kufikiria mtafanyaje aache tabia hiyo inayo kukera wewe na anayo ionea aibu mwenyewe.