Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.

Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.

Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.

Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa WhatsApp. Hapa nilipo tangu juzi namtafuta hapokei simu.
What is your interest, kwanini umtafute wakati unaijua siri ya mtungi
 
Kama kweli una nia ya dhati ya kumsaidia, mtafute bila ya kumpigia simu…..kaa naye chini muulize changamoto zake kisha tafuta namna nzuri ya kumsaidia kutoka huko alipo.

Unajua inawezekana wewe ukawa kweli ni chanzo cha hayo anayofanya, that’s why nafsi yako inakuhukumu kumuona vile.
 
Thread ya miaka 7 iliopita. Haya yote kaleta ephen_
 
Back
Top Bottom