Nimemkuta mchumba wangu akifanya kazi bar

Mimi na wewe nani dogo?? me nimekuzidi miaka minne hapa JF,, nimejiunga 2014 wewe umejunga 2018 au kwakuwa sipost

Suala la kuoa mfanya kazi wa bar hilo gumu sana mkuu, ninavyowaona wakijiuza vile siwezi hata kusubutu

Dogo, kutokuwepo JF kabla yangu hakunifanyi nikawa mdogo wako. Unaweza kuwa mkwe wangu.
 
Kutokukwambia ukweli hilo tayari ni doa,Inawezekana anamengi anakuficha,uwazi na ukweli ni msingi wa mahusiano
 
Pimeni ukimwi majibu yakitoka utaangalia kama inafaa kuendelea ama laah.


Unaoa mke si kazi....
 
Itakuwa nesi wa kuduka walevi bar.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ndo nimesha ghaili mkuu

Utakuja juta nakuambia dogo. Ukimuacha huyo utaangukia kwa changudoa (ambae hutajua uchangudoa wake hadi baada ya ndoa) na ataendelea kujiuza na kukigawa hata akiwa ndani ya ndoa. Labda kama wewe si Mkristo wa ukweli ili ujiaminishe kutoa talaka. By the way; wewe hujawahi kumjua mwanamke hadi leo hii?
 
Kwani kufanya kazi ya bar ni ufuska?Wewe ulitaka kuoa mtu au nesi?
 
Nakuombaa ukae uongee naye kwa undani kama bado unmpenda
 
Iko hivi niliambiwa huyu binti ni nesi yupo (mikoa fulani), nikavutiwa nae nakam-approach na bahati nzuri akanielewa nikawa nimemtafuta mchungaji kumpa habari

Naam, tatizo liko hapa. Usimlaumu yeyote, tatizo ni WEWE.

Yani unakubaliwa na mwanamke afu step ya kwanza kwa mchungaji?
 
Mkuu, alimaanisha nesi wa walevi, muulize vizuri
 
Dunia haieleweki, ipo siku utakuja tamani ungekuwa nae baada ya yeye kuolewa na wakakaa sawa na mume wake. Kuvunja uchumba mra nyinig kuna beba laana
 
mkuu unaowa kazi unaowa mwanamke......hata kazi ya bar kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…