Nimemkuta mpenzi wangu yupo na mpenzi wake wa zamani

Imalize basi hiyo kazi mzee. Kufikia mwakani wasiwepo
Dhambi haiwezi kuondoka duniani maadam shetani yupo tunachofanya ni kutoa elimu kujua madhara yake kwa watu maana mshahara wa dhambi ni mauti,Mungu hapendi mwanadamu aangamie ni husuda za shetani
 
Kuna wazo la biashara nimelipata hapa

NITA ANZA KUKODISHA MAGARI KWA AJILI YA WATU KUPIGIA MISELE KWA WENZA WAO WAPYA
 
Kwahiyo ndani ya wiki inayoanza ndo wanaachana😀😀

Kaazi kweli kweli
Story inaanza ilikua jana jmos, nilipanga kutoka na mpenzi wangu ambae toka tujuane ni wiki sasa.

Alinambia ana mpenzi ila ana kama miezi kadhaa hawajaonana na akanihakikishia ataachana nae ndan ya wiki inayoanza.

Cha kusikitisha, jana asubuhi namptia ili twende nyumbani nimtafune kwanza alafu ndo tutoke, nafika kwake nampgia smu anapokea rafiki yake anasema katoka nje kidogo.

Mara ghafla na yeye namuona nje, kwa mbele nkamuona mhuni mmoja hivi anakuja less kinoma[emoji28][emoji28][emoji28].

Gari nilipaki pembeni yake ikabidi nishushe kioo, akaniambia anaenda dukani nirudi badae, ila kama alkua hajiamni, kumbe yule jamaa ndo mhuni wake.

Nikawaangalia kwa side mirror wanabadlishana mifuko, ikabidi nijiongeze nitoke pale niende sehemu kwanza.

Badae ndo nkamptia nkaenda kutafuna na tukatoka, sikumuulza ila jana ndo ilkua mwisho inshort nmembwaga maana mi mwenyewe sina future gari la kuazima.
 
...

Imebidi nicheke kwanza kisha nikakumbuka madogo wawili mtaani wamemuliwa baada ya kurushiana ngumi, watu wakaanza kumcheka mmoja kapigwa ngumi ya mdomo na umemvimba, yeye akajibu "na mimi nimempiga ngumi ya pua".
 
Story inaanza ilikua jana jmos, nilipanga kutoka na mpenzi wangu ambae toka tujuane ni wiki sasa.

Alinambia ana mpenzi ila ana kama miezi kadhaa hawajaonana na akanihakikishia ataachana nae ndan ya wiki inayoanza.

Cha kusikitisha, jana asubuhi namptia ili twende nyumbani nimtafune kwanza alafu ndo tutoke, nafika kwake nampgia smu anapokea rafiki yake anasema katoka nje kidogo.

Mara ghafla na yeye namuona nje, kwa mbele nkamuona mhuni mmoja hivi anakuja less kinoma[emoji28][emoji28][emoji28].

Gari nilipaki pembeni yake ikabidi nishushe kioo, akaniambia anaenda dukani nirudi badae, ila kama alkua hajiamni, kumbe yule jamaa ndo mhuni wake.

Nikawaangalia kwa side mirror wanabadlishana mifuko, ikabidi nijiongeze nitoke pale niende sehemu kwanza.

Badae ndo nkamptia nkaenda kutafuna na tukatoka, sikumuulza ila jana ndo ilkua mwisho inshort nmembwaga maana mi mwenyewe sina future gari la kuazima.
Idiot
 
Back
Top Bottom