Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Jamani kwanza kama nitakuwa ninavuruga Taratibu za Kupost hii thread hapa nisameheni, Leo nimemla bata, kumbe kweli kama unataka kufaidi Mle Ukiwa umempakata....Ile nyama ilosemwa ya nyuma kiama chake utadhani unakula kila KIDULI au KITHERI cha Kimasai.....Bata jamani apewe number one kwa utamu.....je wewe, umewahi kula bata gani?Wa kufugwa au bata Mzinga?.........